Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

Yako ndogo hiyo, mimi nilitema kohozi pahala ,jamaa akaniangalia akaja

Ndg ,habari ,nikajibu njema wewe unamafunzo yakivita nikasema hapana ,hicho kikohozi umekitoaje bila kusikika ukikivuta na umetema chakutosha

Akachomoa Lakimbili akaniaward
 
Akajibu not really Africa have been to Tunisia, Morocco and Egypt but long time ago in 80s and 90s. Nikamuambia Visit Tanzania oneday you will never regret.

Akaendelea have also been to Laos, Vietnam and Thailand. Basi lake likaja akaniaga nakupanda.
Hizi nchi alizo tembea wazungu hupendelea kwenda kufanya sex sana, pamoja na Turkey,Dominican republic na Venezuela.
 
Back
Top Bottom