Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

Ndio asubuh tu mkuu nianze na majivuno😁😁
Kwamba na wewe ni handsome unaogopa kusema?
Maghayo Ule weusi wake kama mkaa wazungu wamedata, akirudi bongo hana soko labda arudi na mpunga wa maana
 
Wanajamvi kwenye ukakamavu Napendaga sana kusifiwa. Huyo mzee yuko sahihi kabisa siyo yeye tu wengi wananisifiaga tembea yangu. In reality ukiniona natembeaga kwa kujiamini nimenyooka mwili wa mazoezi chesel shape. Namiliki centre of gravity ipasavyo.

Huyu mzee made my day.
Picha sasa kaka mwanajeshi tuone hicho kifua, mwili wa mazoezi ulioonyoka kama wa nyoka.
 
Back
Top Bottom