Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

😂😂😂😂😂😂
Nimefurahi sana.

Magufuli aliwahi kusema na nitamnukuu kiunaga ubaga

"...nataka Watanzani watembee vifua mbele..."

Amini usiamini, Hayati mwenyewe alitaka kutembea kama mwanajeshi.

😂😂😂😂😂✌️
 
Yako ndogo hiyo, mimi nilitema kohozi pahala ,jamaa akaniangalia akaja

Ndg ,habari ,nikajibu njema wewe unamafunzo yakivita nikasema hapana ,hicho kikohozi umekitoaje bila kusikika ukikivuta na umetema chakutosha

Akachomoa Lakimbili akaniaward
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mental illness is real. And poverty is the cause.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…