Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Pole kwa kupata aibu lkn ndiyo maisha yalivyo. Mshauri mdogo wako Sasa akazane zaidi kula milungi mpaka asubuhi maana yupo huru.
 
Uraibu wako ni upi....?

Apo kwa wanawake Sasa....
 
Sema veve ukiizoea ina addiction aseee ukifika ule mda wake unapata arosto mbaya mbovu.

Mkuu nyie ni Warangi? Maana hao watu wanapenda sana kuchanja veve/miraa/mirungi/gomba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] veve
Vijana wenzangu tuache vitu ambavyo havina faida katika maisha..
 
Gomba aka miraa

Warangi

Wadigo

Wapare

Makabila haya yamekuwa wahanga wakubwa wa miraa
 
Hilo la mirungi ni kweli mkuu,,
Walaji wengi wa mirungi ndoa zinawashinda.
Kama yule jamaa vuvuzela,
Ndoa ya 6 sasa,,
Shida mirungi
 
Yaan hapo uyo shemejiyo ukimwomba tyu lazima akupe, wanawake wanapenda wasuluhishaji mkuu!
 
Hujaelezea umesuluhishaje
 
Uraibu wako ni upi....?

Apo kwa wanawake Sasa....
Sipendagi kuruhusu akili yangu itawaliwe sana na uraibu wa kitu kimoja tu maana nafahamu madhara yake ni mazito sana.

Basi huwa namcha Mungu, nashabikia mpira wa Ulaya, kuangalia muvi za vitendo ila si za kivita, TV channel ya Discovery science, kusoma encyclopedia, kucheza draft, kusikiliza nyimbo za dini, r&b, reggae, reggae danso, zouk, old bongo fleva, SA songs, hip hop, current musics, kuperuzi JF, Goal.Com/Sky sports, kutembelea maeneo mbali mbali waishiyo Watu na mbuga za wanyama, kutaniana na Watu na kuchangia nao habari za kimaisha bila ya kukosa kuwajibika kwa Mke ktk tendo la ndoa na matunzo.
 
Utachelewa sana kubadilisha tabia ikiwa kila tatizo lako unatafuta wa kumtupia lawama.
 
Naomba namba ya shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…