Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Hamkwenda kusuluhisha.

Mlienda kushuhudia ndoa ikivunjika
 
Reactions: THT
Pombe muhimu acha ubwege
 
Kuna rafiki yangu aliolewa na msomali tabia ni Kama za huyo dogo

Wametengana kwa shari sana mwaka jana[emoji2308]

Kumbe veve haifai aisee
Veve tatizo lake kubwa ni gharama tu. Yenyewe inauzwa bei ghali na pia inahitaji machanjio. Yani ukishanunua hujamaliza kuna vitu vingine lazima ununue ili vikuwezeshe kuchanja.

Kuhusu suala la kupunguza uwezo wa 6x6 nimesikia pia japo kuna wengine wanasema sio kweli.
 
Sema veve ukiizoea ina addiction aseee ukifika ule mda wake unapata arosto mbaya mbovu.

Mkuu nyie ni Warangi? Maana hao watu wanapenda sana kuchanja veve/miraa/mirungi/gomba.
Dah nimekumbuka mbali sana kuna gomba inaitwa mogoka ukila ile hata ufanyeje mashine dolo.
 
Dah nimekumbuka mbali sana kuna gomba inaitwa mogoka ukila ile hata ufanyeje mashine dolo.
Hahaha ni noma hiyo yenyewe inaweka kwenye vifriji yenyewe ni majani tu haina vijiti. Nilishaila sana Arusha tunaita mkokaa.
 
Alijua kuoa ni kuja kupikiwa tu, akasahau kuwa akishiba anatakiwa apige show ya kibabe sio kulala kama nyau aliyeshiba maziwa
 
hakuna hosptikali ya mateja ni sober apelekwe pia acha dharau jina teja suo zuri sema waraibu ! endelea kuita mateja mpk siku mtu wakaribu akitumbikia huko ndo utajua
 
Maisha haya nimeshuhudia Tanga, vijana wameharibika sana na hizo mirungi...

Mtu anakwambia hana hamu ya mwanamke kabisa....

Nina jamaa yangu sasa ni marehem, alishindwa kuacha hizo mambo, mwishoe alikuja kufa kwa wizi baada ya kukosa ela ya mirungi na kuanza kuiba...

Walimuua pale kwa Michi...
Rest in peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…