Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

Nachoka Kuelimisha Majuga kila Siku.
 
Naanza Kukuamini Mkuu kwani ile Juzi kuna muda Camera za Azam Tv zilikuwa zikiwaonyesha na kuna baadhi yao hata Macho yao tu yalionyesha wamevuta sana Sigara Bwege / Mpepe ( alias ) Bangi.
Hao wanavuta fresh tu hata Mfalme wao aliyekuja hapa alipokwenda Zanzibar alivaa T Shirt yenye ile nembo pendwa ya mjani kifuani. Hawa hawana ule uarabu kivile wana upepo wa ng'ambo ya pili ya Bahari ya Mediterranean
 
Na kipa kama ndo huyo na lile shangwe la wale mbwa unaweza zani uko jehanamu..wana wezana wao kwa waho eg al ahly washa zoea shangwe hazi watoi mchezoni
 
Kwani akiwa kwao ndio wanakuwa na miguu mitatu? Its all anout mindset, ingekua mimi ningeudanganya ubongo kwamba tupo nyumbani na hao mashabiki ni wetu.

Huwa nafanya hivi hata katika mambo mengine ya kimaisha kwa mafaniki makubwa sana
Always deposit positive thoughts in your memory bank, always be optimistic!
 
Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Ni IJUMAA mkuu game iko SAA 3 USIKU KWA SAA ZA TANZANIA
 
Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Tatizo lako wewe una Matokeo yaKO kwenye mfuko wa Shirt.

Mpira una Matokeo katili sana Relax
 
Ni sawa na leo nimsikie Bondia Hassan Mwakinyo akitamba kuwa atamgharagaza vilivyo Bondia Antony Joshua au Bondia Tyson Fury.

Mtanisamehe tunaenda Kuzikoga / Kufungwa mno Jumamosi huko nchini Morocco kwa Wydad Casablanca FC.
Kwani hatukuondoka na kamati ya Ufundi kutoka Bagamoyo iliyomliza Uto?
 
Tukizikoga itakuwa wamependa tu,ingawa najua figisu lazima zitakuepo
 
Siyo kwa Wydad Casablanca FC tena akiwa katika Ardhi ya Kwao huku Majukwaani wakiwa Wanahanikizwa vilivyo na Mashabiki wao Wakorofi utadhani ni Wavuta Bangi wakati kumbe hata hawaivuti.
Mpka sasa ticket zote zishauzwa🤣🤣🤣🤣
 
Naona umeamua kupost in advance kabla ya Ban.
 
Loooh salale mkuu nilitaka kuanzisha uzi kukusanua wewe utupe mpango mkakati wa kutoboa kwa Wydad Kama ulivyofanya kwa mtani
Hata wewe mkuu inawezekana vipi kuwa hivi come one GENTAMYCINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…