GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Nachoka Kuelimisha Majuga kila Siku.Mwaka 2012 iliaminika hivyohivyo kwamba Nou Camp ni machinjioni lakini mwaka huo Barca alitupwa nje ya mashindano na timu ya Chelsea ambayo haikutegemewa sana kufanya hivyo.
Unaweza kufungwa na wewe ukafunga at the end aggregate ndiyo itaamua na hata Simba akishindwa bado atakuwa kashindwa mbele ya timu kubwa zaidi yake na ili Simba achukue kombe hili sharti acheze na timu hizihizi tena home and away la sivyo aachane na ndoto za ubingwa huo.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app