Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

Chelsea ilikuwa UNGA UNGA just can you imagine anamtoa Barcelona yenye watu na anaenda kuchukua ubingwa wa UEFA champions league pale alianz arena yenye watu ribery,arjen robben, Thomas muller on fire sometime bahati Huwa IPO kwenye soka hata kwenye maisha ya kawaida
 
Siyo kwa Wydad Casablanca FC tena akiwa katika Ardhi ya Kwao huku Majukwaani wakiwa Wanahanikizwa vilivyo na Mashabiki wao Wakorofi utadhani ni Wavuta Bangi wakati kumbe hata hawaivuti.
Waarab kwa bangi si ndo zao.....watakuwa wanavuta tu
 
Mbona unatuchanganya.. mara tucheze low block na counter..mara hivi!
 
Simba ilizingua kwa kukosa nafasi za wazi Kama tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…