kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 539
- 637
Chelsea ilikuwa UNGA UNGA just can you imagine anamtoa Barcelona yenye watu na anaenda kuchukua ubingwa wa UEFA champions league pale alianz arena yenye watu ribery,arjen robben, Thomas muller on fire sometime bahati Huwa IPO kwenye soka hata kwenye maisha ya kawaidaMwaka 2012 iliaminika hivyohivyo kwamba Nou Camp ni machinjioni lakini mwaka huo Barca alitupwa nje ya mashindano na timu ya Chelsea ambayo haikutegemewa sana kufanya hivyo.
Unaweza kufungwa na wewe ukafunga at the end aggregate ndiyo itaamua na hata Simba akishindwa bado atakuwa kashindwa mbele ya timu kubwa zaidi yake na ili Simba achukue kombe hili sharti acheze na timu hizihizi tena home and away la sivyo aachane na ndoto za ubingwa huo.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app