Nimetoka mo29 na nimetoka D9, nitapinga maovu ya Samia na washirika wake hata nikiwa peke yangu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni.
Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA.

1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo na ya uhakika.

2. Sijatoka kwakua sina chakula au hela, chakula ninacho, sio tajiri lakini hela ninayo ya kumudu mahitaji yangu.

3. Sijatoka kwa sababu nimelipwa au nimeahawishiwa, nimetoka kwa akili zangu timamu.

Kitu kilichonifanya nitoke ni vile nashindwa kuvumilia uenevu kabisa, I have a very strong sense of injustice, very.

1. Raia wanahaki ya kuchagua kiongozi wanaemtaka, huu uhuni wa mtu akishapita ccm tayari ameshakua kiongozi wenu, huu uhuni wa kupita bila kupingwa, uhuni wa kuwafanyia figisu viongozi au mawakala wa chama pinzani unaniuma sana sababu mwisho wa siku tunatawaliwa na watu ambao hatukuwapa ridhaa hivyo, it is kind of dictetorship.

2. Kupotezwa watu ili kumfurahisha mtu mmoja, ase go to hell.

3. Wananchi kuishi maisha ya shida bila sababu, unasherehekea miaka 64 huku hata maji tu imekua shida, viongozi hawana nia ya dhati ya kufanya maisha ya wananchi kua mazuri zaidi y wao kujifaharisha inauma sana.

4.. Kuwatoa watu akili na dharau, yani mfano, unaifungia Twitter/Ex kisha unaendelea kuotumia kisha unatoa sababu za uongo, nasiki hasira sana.

5. Kiburi za viongozi, yani anaua kisha bado anajisifu. Hii hapana, hii haikubaliki hata kidgo.

Hata ikiwa ni mbele za mungu, siwezi kumsamehe samia na washirika wake, na hakika, lolote baya limfike kama linalowafika na lililowafika wananchi kwa ridhaa yake yeye.
 
Usikonde moyo ndugu yangu,wengi tu tuna HISIA kama zako ndani ya mioyo yetu

Ingawaje si jambo jepesi kupambana nao na kuwashinda hawa WASHENZI lakini nikuhakikishie TUTASHINDA kwa kishindo kikuu,ni suala la muda tu hata wao wenyewe wanalijua hilo
 
Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni.
Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA.

1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo na ya uhakika.

2. Sijatoka kwakua sina chakula au hela, chakula ninacho, sio tajiri lakini hela ninayo ya kumudu mahitaji yangu.

3. Sijatoka kwa sababu nimelipwa au nimeahawishiwa, nimetoka kwa akili zangu timamu.

Kitu kilichonifanya nitoke ni vile nashindwa kuvumilia uenevu kabisa, I have a very strong sense of injustice, very.

1. Raia wanahaki ya kuchagua kiongozi wanaemtaka, huu uhuni wa mtu akishapita ccm tayari ameshakua kiongozi wenu, huu uhuni wa kupita bila kupingwa, uhuni wa kuwafanyia figisu viongozi au mawakala wa chama pinzani unaniuma sana sababu mwisho wa siku tunatawaliwa na watu ambao hatukuwapa ridhaa hivyo, it is kind of dictetorship.

2. Kupotezwa watu ili kumfurahisha mtu mmoja, ase go to hell.

3. Wananchi kuishi maisha ya shida bila sababu, unasherehekea miaka 64 huku hata maji tu imekua shida, viongozi hawana nia ya dhati ya kufanya maisha ya wananchi kua mazuri zaidi y wao kujifaharisha inauma sana.

4.. Kuwatoa watu akili na dharau, yani mfano, unaifungia Twitter/Ex kisha unaendelea kuotumia kisha unatoa sababu za uongo, nasiki hasira sana.

5. Kiburi za viongozi, yani anaua kisha bado anajisifu. Hii hapana, hii haikubaliki hata kidgo.

Hata ikiwa ni mbele za mungu, siwezi kumsamehe samia na washirika wake, na hakika, lolote baya limfike kama linalowafika na lililowafika wananchi kwa ridhaa yake yeye.
You’re not alone bro, no retreat no surrender mpaka justice ipatikane.
 
Pole ndugu,

Mungu ni mwema,ameshatujibu,

Katiba mpya itaandikwa soon,

Na uchaguzi wa haki utafanyika.
 
Mkuu hata kama huna kazi ni sawa tu kuandamana kupinga serikali dhalimu kwa ujasiri mkubwa.

Binafsi jana nilikuwa mtaa na wana but ndiyo vile wajeda wenye mitutu walikaba.

Hawa mafiraini kamwe hawezi kutushinda in a long run. Kamwe haki haiwezi kushindwa watachelewesha tu.
 
Nakubaliana na wewe.... Hatuna kiongozi... Huyu ni mwanaharakati typical.... Mipasho mingi na mashairi... Total failure
 
Naunga mkono hoja zako kwa 200%.

Unaonekana ni msomi uliyeelimika na una uzalendo wa kweli kwenye nchi yako na sio serikali ya kihuni.
Watu kama nyie ndio mnatakiwa kuwa viongozi, very unfortunately, tuna clowns kwenye sehemu nyeti za uongozi.
 
Back
Top Bottom