Nimetoka Moshi na Toyota Vitz nimezinyanyasa Subaru, Harrier sio mchezo

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Cha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji

V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale madude hapana ila hzo zingine sijui cc 1400,2400 walikuwa wananusa tu moshi[emoji23][emoji23]

Ila niwakumbushe tu endesha kwa Tahadhari, Usilewe,fuata alama za barabarani kwa usalama wako,usiovertake hovyo,vaa mkanda, zingatia speed 50 nenda 50 80 nenda 80.
 
Cha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji

V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale madude hapana ila hzo zingine sijui cc 1400,2400 walikuwa wananusa tu moshi[emoji23][emoji23]

Ila niwakumbushe tu endesha kwa Tahadhari, Usilewe,fuata alama za barabarani kwa usalama wako,usiovertake hovyo, zingatia speed 50 nenda 50 80,80,
vitz na mashimo ya mkata mpaka msata una bahati sana
 
Back
Top Bottom