Nimetoka Moshi na Toyota Vitz nimezinyanyasa Subaru, Harrier sio mchezo

Cha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji

V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale madude hapana ila hzo zingine sijui cc 1400,2400 walikuwa wananusa tu moshi[emoji23][emoji23]

Ila niwakumbushe tu endesha kwa Tahadhari, Usilewe,fuata alama za barabarani kwa usalama wako,usiovertake hovyo, zingatia speed 50 nenda 50 80,80,
Kwani haikukufikisha ulipotaka kufika ? Mostly mabio ya vyombo vya usafiri ni kifo kinakuita.
 
Cha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji

V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale madude hapana ila hzo zingine sijui cc 1400,2400 walikuwa wananusa tu moshi[emoji23][emoji23]

Ila niwakumbushe tu endesha kwa Tahadhari, Usilewe,fuata alama za barabarani kwa usalama wako,usiovertake hovyo, zingatia speed 50 nenda 50 80,80,
Ulikuwa una bet na kifo
 
Wewe ni miongoni mwa wachaga wapumbavu kuwahi kuwepo kwenye uso wa dunia.
 
Aah wapi ulipotea kabisa kwenye radar 😆😆
Ngoja kwanza, eti umeipita Benz !!!! Waundaji wa Benz watajiuzulu kwa lazima. Tofautisha usafiri wako wa Toyota vitz na gari yenyewe Benz, kwa hiyo Toyota vitz ni usafiri kama baiskeli na Benz ni gari.
 
Cha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji

V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale madude hapana ila hzo zingine sijui cc 1400,2400 walikuwa wananusa tu moshi[emoji23][emoji23]

Ila niwakumbushe tu endesha kwa Tahadhari, Usilewe,fuata alama za barabarani kwa usalama wako,usiovertake hovyo, zingatia speed 50 nenda 50 80,80,
Wewe sema wanaoe endesha hayo magari hwakutaka mbio au si madereva wazoefu.

Dereva mzoefu hata ukimpa rav4 angekupepeta vibaya na vits yako.
 
Hivi kwani barabarani huwa kuna makubaliano ya kushindana???
Au wewe tu unakazania kuyapita ya mbele, wanakupisha ukajifie huko mbele 😂😂
 
Yaan kila siku huu msimu tunataarifa mbaya afu wew unajisifia ligi

Kumbe kuna watu ni vichwa vigumu

Kwanza niliamin mwaka ujao mtakamo au mtapunguza kabisa kwenda kilimanjaro maana mwaka huu ajar zimewafyeka sana
Bongo hapa vijana (baadhi) wana mawazo ya kitoto , mada haina facts halaf anaona raha mwendo kasi
 
Usirudie tena mkuu. Umejiweka kwenye hatari mbaya sana.
Mshukuru Mungu wako umefika salama!
 
Jama i nimefanikiwa kufika shinyanga salama na boxer yangu ila kiuno chote hoi...hapa sitaweza gegeda wiki
 
Back
Top Bottom