vitz na mashimo ya mkata mpaka msata una bahati sanaCha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji
V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale madude hapana ila hzo zingine sijui cc 1400,2400 walikuwa wananusa tu moshi[emoji23][emoji23]
Ila niwakumbushe tu endesha kwa Tahadhari, Usilewe,fuata alama za barabarani kwa usalama wako,usiovertake hovyo, zingatia speed 50 nenda 50 80,80,
Naomba mkopo nianze mwaka na Passo au Vitz mkuu🤣Kuna ule uzi mwingine yule ameipimp Passo yake anapepea tu Morogoro road.
JF! 😅
Vitz inayotoa mimoshi cheki rings au valve seal mkuu.walikuwa wananusa tu moshi
Mimi milioni ngapi naNaomba mkopo nianze mwaka na Passo au Vitz mkuu🤣