Nimetoka Moshi na Toyota Vitz nimezinyanyasa Subaru, Harrier sio mchezo

Ngoja kwanza, eti umeipita Benz !!!! Waundaji wa Benz watajiuzulu kwa lazima. Tofautisha usafiri wako wa Toyota vitz na gari yenyewe Benz, kwa hiyo Toyota vitz ni usafiri kama baiskeli na Benz ni gari.
IST ni chombo cha moto, Benz ni Gari.
 
Hiyo vitz ni ya piston 3 au 4?Unaonekana hujui magari,land cruiser mkonge yenye 1hz mbona ni kobe mbele ya harrier!mi huwa nashangaa sana mtu anaisifu 1hz kwenye mwendo.
 
Kwani VITZ ni gari
 
Usirudie tabia hiyo kwenye tarehe kama hizi.
 
Bahati yako, hii habari ya wewe kufanya mashindano njian ingekuwa Siri ambayo ungebaki nayo mwenyewe mpaka kuzimu, huku sisi duniani tungebaki kuhuzunika kijana kaacha mke mzuri ambaye naye tungemchukua kumponya machungu ya kuwa na mme mlevi asiyeheshimu road signs
 
Vits yako Inakimbia sana...


...Ni Hayo Tu!
 
Vitz iittese Harrier tako la nyani, inyanyase Subaru tena kwa kufuata alama zote za barabarani, kwenye 50 unatembea 50 weeee
Mondo foooo
 
Duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…