Nimetoka Moshi na Toyota Vitz nimezinyanyasa Subaru, Harrier sio mchezo

Hiyo vitz ni ya piston 3 au 4?Unaonekana hujui magari,land cruiser mkonge yenye 1hz mbona ni kobe mbele ya harrier!mi huwa nashangaa sana mtu anaisifu 1hz kwenye mwendo.
Nilitamani uende uzi flan jamaa anaisifia 1hz kuwa ninengine yenye nguvu na mbio kukiko zote,
Kuna watu wamekafirishwa vibaya sana kuhusu 1hz
 
Mimi nataka kwenda Ngara na Toyota Sienta hivi itafika kweli?
 
Ulikuwa unashindana na watu wasio shindana.

Ni sawa na uko barabarani ukifanya mazoezi ya kukumbia afu unawapita wenzako wakitembea kwa mwendo wa madoodo afu ukasema umewazidi mwendo.
How old are you? . Ili tujui tunasumbuka na barehe ama la?
 
Nilitamani uende uzi flan jamaa anaisifia 1hz kuwa ninengine yenye nguvu na mbio kukiko zote,
Kuna watu wamekafirishwa vibaya sana kuhusu 1hz
Kuna mtu humu kila post anataja Toyota Hilux, nafikiri gari aliyowahi kupanda yenye mwendo ni Hilux tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…