Msijifiche kwenye miavuli ya mama zetu,kila kitu kibaya mnachofanya tukiwaambia mnasema tena mama zetu,tambueni kua wengine tuna akina mama wanaojiheshimu siyo kama baadhi yenu mlivyo.Haaaaaa! Ko ata mama ako ni basha tu.
Usijitoe ufahamu futa thread yako.Msijifiche kwenye miavuli ya mama zetu,kila kitu kibaya mnachofanya tukiwaambia mnasema tena mama zetu,tambueni kua wengine tuna akina mama wanaojiheshimu siyo kama baadhi yenu mlivyo.
Basi sawa, Mtoa mada kawasifia wanawake wa kinyarwanda mimi nikaweka uthibitisho wa picha, sasa wewe sifia wa kibongo nikumiminishie Mababiz wakare wa kibongo live na mubashara you know.Mbona wa kawaida sana. Hapa TZ wapo wa aina hiyo na wakali zaidi. Inategemea upo eneo gani la nchi.
Ukienda Ngara. Tabora. Singida. Dodoma. Manyara. Arumeru. Tanga. Pemba. Unguja na Dar. Wapo wenye mvuto huo.
Labda kama unawalinganisha hao wanyarwanda na wajaluo au wanyakyusa hapo utakuwa sahihi.
Toa sababu zenye mashiko ili nikujibu inavyotakiwa.Usijitoe ufahamu futa thread yako.
Mmmh.....! basi utakua balaa ninavyowafahamu wengi wenu ni wazuri sana,mkija nyanda za juu kusini mnaweza kuleta shida kwenye baadhi ya ndoa,hongereni.Mimi mwenyewe mburu
Wee wa ajabu sana watusi huwajui vema kwanza ukimuoa wewe utazaa naye watoto ila lazima aje kuzaa na mtusi mwenzake tu. Pia kwa wife material tz bado tuko vizuri sana hizo figure unazotaka hata wazawa tz wengine wanazo e.g wahaya, warangi and others. Nakushauri pia heshimu wanawake huna lugha ya adabu.Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kweli mkuu, anatusi huyoKwa hiyo hata mama yako si mwanamke?pumbavu.
Wa nyanda za juu wapoje mkuu. Kapicha Tafadhali.Mmmh.....! basi utakua balaa ninavyowafahamu wengi wenu ni wazuri sana,mkija nyanda za juu kusini mnaweza kuleta shida kwenye baadhi ya ndoa,hongereni.
Wanawake wa nyanda za juu kusini wengi wao siyo wazuri wa sura,mtu ambaye amekaa huku ataniunga mkono,wazuri niwachache sana tofauti na Manyara,kule ni hatari sana,kuanzia nywele,rangi,maumbo n.k,tatizo lao wengi hawana lugha laini kwa wanaume,hawajui kubembeleza kwa maneno matamu,ila niwazuri sana,hilo tatizo litakua nikwasababu ya lugha,wengine kule wanashida yakutumia kiswahili vizuri,ila niwazuri sana.Wa nyanda za juu wapoje mkuu. Kapicha Tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa msifa kedekede.Wanawake wa nyanda za juu kusini wengi wao siyo wazuri wa sura,mtu ambaye amekaa huku ataniunga mkono,wazuri niwachache sana tofauti na Manyara,kule ni hatari sana,kuanzia nywele,rangi,maumbo n.k,tatizo lao wengi hawana lugha laini kwa wanaume,hawajui kubembeleza kwa maneno matamu,ila niwazuri sana,hilo tatizo litakua nikwasababu ya lugha,wengine kule wanashida yakutumia kiswahili vizuri,ila niwazuri sana.
Tumegundua kumbe na ww mzaliwa wa misungwi mwanza.... Kwa kina bashite sio kosa lako utakua hamorapa wa JF una4c kiki mzeeeeeeeeToa sababu zenye mashiko ili nikujibu inavyotakiwa.