mwanyiru boniface
Member
- Mar 4, 2017
- 23
- 6
nani aliyekuzaa bro mbona unazingua kwa hiyo mama yako sio mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuzaa Wewe ni mti?Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
HatareeeeKwani wewe ulizaliwa na mwanaume tu hapa Tanzania? Mpaka useme hakuna wanawake?
Nilitaka kusema hivyo lakini kwa bahati nzuri umeniwahi mkuu!we jidanganye tu kuhusu tabia zao
Kwa hiyo mshua ako alikukunya. Fala sana wewe. Vitu vingine keep to yourself. Sura lako lenyewe inaonekana baya alafu unataka wadada wazuri. Si tunawapenda hawahawa kwetu Wana misambwanda balaaNimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Mwache buana kule kuna wazuri kweliYaani wewe huna adabu kweli,kwa hiyo wewe umejizaa mwenyewe kama Tanzania hakuna wanawake,acha dharau ndugu.
Km wazuri ndo hawa kweli Tanzania tumejaliwa. Mimi tu hapo hakuna anayenifikia ata kidole
Wewe ni Mhindi mwenye asili ya Tanzania ndo maana wajiona mzuri. sisi tunaongela pure african, kwahiyo ngoja kwanza.Km wazuri ndo hawa kweli Tanzania tumejaliwa. Mimi tu hapo hakuna anayenifikia ata kidole
Mkuu wanachura hao hapo juuWewe ni Mhindi mwenye asili ya Tanzania ndo maana wajiona mzuri. sisi tunaongela pure african, kwahiyo ngoja kwanza.
Hongera kwa kuwa mzuriKm wazuri ndo hawa kweli Tanzania tumejaliwa. Mimi tu hapo hakuna anayenifikia ata kidole