Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
Wewe ni Mhindi mwenye asili ya Tanzania ndo maana wajiona mzuri. sisi tunaongela pure african, kwahiyo ngoja kwanza.
Wewe nani kakwambia mimi muhindi [emoji15] sina ata chembe ya uhindi. Mimi ni pure Tanzanian ila hakuna anayenifikia hapo.
 
weka picha yako acha matambo hapa, kama nihiyo kwenye avater yako narudia tena wewe ni MHINDI.
Ahahaaaa weka yako kwanza. Kweli kina bashite wengi. Kwahiyo hiyo avatar unafikiria ni mimi
 
Ahahaaaa weka yako kwanza. Kweli kina bashite wengi. Kwahiyo hiyo dp unafikiria ni mimi
Niweke yangu kwani nimesema mimi mzuri? kwenye avater ndo mimi halisi sasa, Kama wewe ni mzuri kwanini unalazimisha kuweka picha za warembo wengine? si ungeweka picha hata ya kiatu?
 
Niweke yangu kwani nimesema mimi mzuri? kwenye avater ndo mimi halisi sasa, Kama wewe ni mzuri kwanini unalazimisha kuweka picha za warembo wengine? si ungeweka picha hata ya kiatu?
Ahahaaa niweke avatar yenye picha yangu ili iwe nini.
Jua tu kua mimi sio muhindi na hao hawanifikii ata kucha. Kama nani unipangie cha kuweka kny avatar yangu [emoji28] [emoji28]
 
Mwanamke wa kinyarwanda hafai kua mke, nikiwa kama mkazi wa chigali muda mrefu sishauri uoe rwanda utaishia kunyanyaswa hasa kama wewe sio wa huko ,
 
Na mimi nataka kwenda kutembea huko Rwanda vip gharama za maisha zipoje?
 
Ahahaaa niweke avatar yenye picha yangu ili iwe nini.
Jua tu kua mimi sio muhindi na hao hawanifikii ata kucha. Kama nani unipangie cha kuweka kny avatar yangu [emoji28] [emoji28]
Sawa mrembo nimesalimu amri, ngoja nimwambie fredericko kuwa nimevumbua mbebiz mrembo live matata sana hapa bongo hao wote watangoja sana miaka elfu u know.
 
Ila kweli wanawake wetu hawa wa Tz ni pasua kichwaa aisee yani wana kwambia "No Money No Honey" kizuri kisifiwe kwa uzuri wake Unapaniki nini mtoto wa kiume au Ulitaka Usifiwe wewe ndo Mzuriiiii!!!
hahaha...MAUA MPELEKEE NYUKI
 
Mwanaume Mimi napita tu...... Hapo umejumlisha mama,alokuzaa +Dada zako. ......
Kwani mtu akiwa mama au dada yangu anakua anawazidi wanawake wote ambao mimi kama mwanaume nimewaona,siyo kweli,mimi natokea nyanda za juu kusini huwa nakiri kua WAMBULU ni wazuri kuliko wanawake wengi wa Rukwa,Mbeya,Songwe,Njombe na hata Mpanda.
 
0fd2150781784b5ba6bf4cc84aa13630_L.jpg
Mbona wa kawaida sana. Hapa TZ wapo wa aina hiyo na wakali zaidi. Inategemea upo eneo gani la nchi.

Ukienda Ngara. Tabora. Singida. Dodoma. Manyara. Arumeru. Tanga. Pemba. Unguja na Dar. Wapo wenye mvuto huo.

Labda kama unawalinganisha hao wanyarwanda na wajaluo au wanyakyusa hapo utakuwa sahihi.
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu


Eti wanawake wa mfano wa Tanzania ni Bongo muvi actresses dizaini ya kina Wema, who the fuc.k wants to marry women like these? Wanawake wa kibongo ni stress tupu kwanza hawajitambui, karibia ya wote akili zao ni kama Amber Lulu au Gigi Money...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom