T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sasa solution ni kumkomoa aliyezaa na binti yako? Kaa naye sasa hapo kwako uwe unamuona unafurahia, kijana ataoa kwingineko mbaki na masimango yenu kijijiniKaenda kujionyesha baada ya kuishi kinyumba mpaka mtoto kuzaliwa sasa hapo uoni dharau hizo? Wewe usikie binti yako yupo Dar anaishi na mwanaume kama mke na kazalishwa je kama familia ya binti mtajisikiaje na jamii ya iliyowazunguka si itakuwa fedheha ? Maana maisha ya vijijini yanajulikana utasikia mtoto wa furahi kazalishwa na anaishi na mwanaume bila kuolewa na wazazi wake watakuwa wanaishi bila furaha.
HIYO NI BUHIGWE MOJA
Sure kabisa!Wewe ni mjinga, mtu kukuletea zawadi ni kudanganywa [emoji706] au mtaonekana mnadhiki..?
Kuna watu waliacha kuoa kisa hayo mamilioni waliaga wakenda mazima
Yani we jamaa umekaa na mtoto wa watu, umemzalisha, umemtuma kwao ili uje kukamilisha taratibu za kuoa, wewe umemchukua ndugu yako mmoja eti mnaenda kujadili mahari, it doesn't make any sense, ni dharau na mazoea hayo. Kwani huko kwenu taratibu za kuoa zikoje? Au ndo ukishampiga mtoto wa mtu mimba ndo unatoka na rafiki yako kwenda kwa babamkwe kuuliza ni shangapi?
Kumwacha napingana na wewe, utakuja kudondokea kwenye jivu lenye moto ndani, we endelea, yani unaunganishaje makosa ya baba mwenye matamaa ya pesa na mwanae.Mbaya zaidi ntalazimika kumuacha mtoto wao kwa makosa ya baba yake
Wangekuwa wanafahamiana mahali ingesoma 800k tu🤣Hapa ndo tunaona umuhimu wa kufahamiana familia tunapotokea kwanza. Braza ulishabugi tangia mwanzo. Njia za wazee wa zamani si za kupuuzwa. Unamuweka mwanamke ndani, mnalalana mpaka basi. Afu baadae ndo kwenda katika familia husika. Its very risky.
Hujui mwanaume/mwanamke unaetaka kuwa nae maisha yako yote ametokea katika familia gani. Kuna wanaume wanatokea katika very hard families ambazo wewe kama mwanamke hutaweza kuhimili. Vice versa pia. Sasa mnapokulana na kusogezana out of taratibu za kiAfrica ni rahisi sana baadae kuja kutokea mengine. Mila za zamani zisidharauliwe. Kuna pipo zitasema kama mila za zamani zinafuatwa zifuatwe jumla. Mambo ya bikra and stuff like that. Lakini ujue tu kama ni unataka bikra uwe tayari kutoa ng'ombe nyingi..maana ndo mila za zamani.
Anyways, braza pole kwa huu mkasa. Ngoma ishakua ngumu hii. What I know, kuna hakimu mkuu asiyepokea hongo wala rushwa. Anaweza kulitatua hili jambo chap. Go back to the cross. Ask God to make a way. Hii ni kama unampenda huyu mwanamke na unataka kufanya nae maisha. But if hauko tayari then endelea tu na mipango mingine. Yale magumu sana ndipo Mungu anajidhihirishaga ili kuonesha ukuu wake. Thats what I know. Ndo maisha lakini.
Sema tu unatamani na mwenzako akose mke awe kama wewe mkuu. ( Jokes )Sijamshauri harudi yeye ila uo ushauri wako amuoe binti utamgharimu
He he umenikumbusha m nshawaambia kwetu mahari ikija ni laki mbili sitak nn wala nn. Na hyo laki mbili ni formalities nlkua sitak hata miaWangekuwa wanafahamiana mahali ingesoma 800k tu🤣
No, namuonea huyo dada huruma ataumia kisa upumbavu wa baba yakeSema tu unatamani na mwenzako akose mke awe kama wewe mkuu. ( Jokes )
Vip jamaa ameshaileta au ??He he umenikumbusha m nshawaambia kwetu mahari ikija ni laki mbili sitak nn wala nn. Na hyo laki mbili ni formalities nlkua sitak hata mia
Sijapata mchumba badoVip jamaa ameshaileta au ??
Sasa akiachika halafu akaja hapa JF kutafta mume si mtaanza ooh tuonyeshe kabuli la mume wako, mala ooh kwanini uliachika mala single mother sijui laana. Yaani humu ndani JF hakuna jema wakat mungine. Na niliwahi kusema kabla hujamhukumu single mother chunguza kwanza Nani kapelekea kua single mothers.No, namuonea huyo dada huruma ataumia kisa upumbavu wa baba yake