T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sasa solution ni kumkomoa aliyezaa na binti yako? Kaa naye sasa hapo kwako uwe unamuona unafurahia, kijana ataoa kwingineko mbaki na masimango yenu kijijiniKaenda kujionyesha baada ya kuishi kinyumba mpaka mtoto kuzaliwa sasa hapo uoni dharau hizo? Wewe usikie binti yako yupo Dar anaishi na mwanaume kama mke na kazalishwa je kama familia ya binti mtajisikiaje na jamii ya iliyowazunguka si itakuwa fedheha ? Maana maisha ya vijijini yanajulikana utasikia mtoto wa furahi kazalishwa na anaishi na mwanaume bila kuolewa na wazazi wake watakuwa wanaishi bila furaha.