Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Kaenda kujionyesha baada ya kuishi kinyumba mpaka mtoto kuzaliwa sasa hapo uoni dharau hizo? Wewe usikie binti yako yupo Dar anaishi na mwanaume kama mke na kazalishwa je kama familia ya binti mtajisikiaje na jamii ya iliyowazunguka si itakuwa fedheha ? Maana maisha ya vijijini yanajulikana utasikia mtoto wa furahi kazalishwa na anaishi na mwanaume bila kuolewa na wazazi wake watakuwa wanaishi bila furaha.
Sasa solution ni kumkomoa aliyezaa na binti yako? Kaa naye sasa hapo kwako uwe unamuona unafurahia, kijana ataoa kwingineko mbaki na masimango yenu kijijini
 
Umaskini taabu sana na ubaguzi wa waha kwa makabila mengine ndio shida hapo, una huruma sana, ningekuwa mimi hakika ningewaacha wote mtoto na mama ndio basi tena, sipendi dharau na huyo mzee ningemueleza mila za kabila langu ili aone utofauti, sipendi ujinga kabisa, mi nikichukia nakuonesha waziwazi sitaki ujinga
 
Honestly mlikosea kusogezana na mimba juu mwaka mzima hukwenda ata kujitambulisha, lakini pia ungejaribu kumchunguza binti na kujua aina ya familia anayotoka.

kama ni wachawi si ndo umekwisha bro..
 
Yani we jamaa umekaa na mtoto wa watu, umemzalisha, umemtuma kwao ili uje kukamilisha taratibu za kuoa, wewe umemchukua ndugu yako mmoja eti mnaenda kujadili mahari, it doesn't make any sense, ni dharau na mazoea hayo. Kwani huko kwenu taratibu za kuoa zikoje? Au ndo ukishampiga mtoto wa mtu mimba ndo unatoka na rafiki yako kwenda kwa babamkwe kuuliza ni shangapi?

Kwani huyo Mwanamke aliyepewa mimba alikuwa mtoto?
Mbona Watu mnaakili za kizamani hivi!
 
Mbaya zaidi ntalazimika kumuacha mtoto wao kwa makosa ya baba yake
Kumwacha napingana na wewe, utakuja kudondokea kwenye jivu lenye moto ndani, we endelea, yani unaunganishaje makosa ya baba mwenye matamaa ya pesa na mwanae.
Kwanza kwa upande mwingine inachangiwa na hasira ya baba mkwe kukuona uko mbali nao alafu uko karibu na binti yao...
 
Hii ilinitokea aisee,Kuna watu wa ajabu sana ila tulifunga ndoa pasipo wao kuwepo[emoji28][emoji28]ila kitimtim chale sio mchezo
 
Mzee yuko sahihi, hyo hela amejumlisha na faini ya wewe kuzaa na binti yake ilhali bado hujatoa mahari, so kumsingi tulia tu then baada ya mda ata wa miaka miwili waambie wakupunguzie mahari na ikiwezekana wapokee ile ile ofa uliyowapa mwanzo.
 
Hapa ndo tunaona umuhimu wa kufahamiana familia tunapotokea kwanza. Braza ulishabugi tangia mwanzo. Njia za wazee wa zamani si za kupuuzwa. Unamuweka mwanamke ndani, mnalalana mpaka basi. Afu baadae ndo kwenda katika familia husika. Its very risky.

Hujui mwanaume/mwanamke unaetaka kuwa nae maisha yako yote ametokea katika familia gani. Kuna wanaume wanatokea katika very hard families ambazo wewe kama mwanamke hutaweza kuhimili. Vice versa pia. Sasa mnapokulana na kusogezana out of taratibu za kiAfrica ni rahisi sana baadae kuja kutokea mengine. Mila za zamani zisidharauliwe. Kuna pipo zitasema kama mila za zamani zinafuatwa zifuatwe jumla. Mambo ya bikra and stuff like that. Lakini ujue tu kama ni unataka bikra uwe tayari kutoa ng'ombe nyingi..maana ndo mila za zamani.

Anyways, braza pole kwa huu mkasa. Ngoma ishakua ngumu hii. What I know, kuna hakimu mkuu asiyepokea hongo wala rushwa. Anaweza kulitatua hili jambo chap. Go back to the cross. Ask God to make a way. Hii ni kama unampenda huyu mwanamke na unataka kufanya nae maisha. But if hauko tayari then endelea tu na mipango mingine. Yale magumu sana ndipo Mungu anajidhihirishaga ili kuonesha ukuu wake. Thats what I know. Ndo maisha lakini.
Wangekuwa wanafahamiana mahali ingesoma 800k tu🤣
 
Huyo mzee mjinga, kwanza ushatokea mtihan bint kazalishwa hilo la kupigwa faini ni mambo ya kijahiliyya(ujinga),
Klitakiwa awanaswih mkalete toba aunganishe udugu apate pa kutembea basi,,,
Mahali ndogo ni swadaaa nawala haifai kuleta tamaa
 
No, namuonea huyo dada huruma ataumia kisa upumbavu wa baba yake
Sasa akiachika halafu akaja hapa JF kutafta mume si mtaanza ooh tuonyeshe kabuli la mume wako, mala ooh kwanini uliachika mala single mother sijui laana. Yaani humu ndani JF hakuna jema wakat mungine. Na niliwahi kusema kabla hujamhukumu single mother chunguza kwanza Nani kapelekea kua single mothers.


NB:
Mkataba
Waarabu
Bandali
Miaka 100

Mbowe na lisu wanatucheleweshea sana maendeleo ya hii nchi
 
Siungekufaa ukija Kwa sisi wamasai na umemzalisha mtoto wao bila kuoa naungepigwa mpaka usirudi Tena .

1.kwa ambaye ni bikra hajasoma ni ng'ombe 25 ambapo ukipiga mahesabu ya haraka ni ml 25
Kama ulimzalish ni ml 6 fine so 31ml .

2. Sasa awe na elimu na ni bikra huwezi mchukua kabisa kama sio ml 60 unaitoa Kwa macho

3.kama ameshatenguliwa na unamwona na anaelimu ni ml 15 bila chenga kama umemzalisha basi utaongeza kumi 5ml mahari na 5ml fine .

So hiyo 4.5 ni ndogo hapo hujatoa madebe 6 ya pombe ml 1 kujitambulisha
Umetoka ukoo gani na umekuja kufanya Nini
 
Back
Top Bottom