The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Mlipotongozana alikuambia kwao Kigoma na wewe ukamwambia kwenu wapi?sikuwahi kufikiria kama kuna siku ningesafiri umbali namna hii kufuata mwanamke tu
Kumbe hujui hata maana ya mahari bure kabisa mahari ni shukrani kwa wazazi kwa kumtunza mwanamke ambaye ni mke wakoSio kila kitu Ni Cha kufuata kisa ni Cha zamani Kuna sababu gani ya kuozesha mwanao Kama unamuuza ,kwani lazima baba uwe mafia?tuache vingine vipite na wakati kikubwa tuwaombee watoto waishi kwa amani milioni 4 mahari ya mtu mmoja sio fair
Upuuzi mtupu, kama ulishindwa kukomaa ukiwa na nguvu basi komaa tu na uzee wenye stress, lakini sio stress zako unazimalizia kwa vijana wanaokuja kuoa kwakoNachojua umeambiwa utoe million 4 mahari ukaandaa uzi wa malalamiko nawakati hio ni case ya kawaida kwenye maisha hakuna jambo rahisi
Wewe ndo hujui kitu sasa, hizo shukrani za kutunza zilikuwa mahususi wakati ambao mabinyi walikuwa wabakutwa wangali bikra, sasa unakuta mzee amefeli kwenye kulinda bikra za watoto wake halafu anataka kulazimisha mambo ya enzi za ubikra, inakaaje hiii???Kumbe hujui hata maana ya mahari bure kabisa mahari ni shukrani kwa wazazi kwa kumtunza mwanamke ambaye ni mke wako
Mwache mwanamke wa watu kama unamuogopa baba mkwe au kama una ona million 4 ni nyingi sio unakuja kulalami lalamika mambo magumu ni kwa ajili ya wanaume na sio wavulanaWewe ndo hujui kitu sasa, hizo shukrani za kutunza zilikuwa mahususi wakati ambao mabinyi walikuwa wabakutwa wangali bikra, sasa unakuta mzee amefeli kwenye kulinda bikra za watoto wake halafu anataka kulazimisha mambo ya enzi za ubikra, inakaaje hiii???
Mambo magumu ni kwa ajili ya wanaume na sio wavulanaUpuuzi mtupu, kama ulishindwa kukomaa ukiwa na nguvu basi komaa tu na uzee wenye stress, lakini sio stress zako unazimalizia kwa vijana wanaokuja kuoa kwako
Huo uanaume wa kuumizana na kufurahisha wakwe ni wa kipumbavu!Mwache mwanamke wa watu kama unamuogopa baba mkwe au kama una ona million 4 ni nyingi sio unakuja kulalami lalamika mambo magumu ni kwa ajili ya wanaume na sio wavulana
Kwa upande wangu bado naona nafasi ya kurekebisha unayo!!Situation ya mzee ingekuwa mbaya kama mtoto wake angekuwa alitelekezwa, lakini nimekuwa na yeye bega kwa bega, tangu ujauzito mpaka leo!
Tumechelewa kwenda kujitambulisha na kulipa mahari, (hilo nakubali ni kosa) lakini je, ni kosa linalofanya aamue kunikomoa n'a kunidhalilisha ?
Naamini baada ya watu kuoana undugu na mashirikiano huendelea, husaidiana katika huzuni na furaha, sasa ukinihuzunisha na kunisimanga kwa sababu una "hasira" kwa vitu ambavyo havina maana kabisa nitakuchukuliaje? Utegemee kuwa tutashirikiana kweli?
Lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba mama mtoto wangu ananiambia, dada yake alitoroshwa na jamaa wa huko huko kwao, na aliishi na mumewe kwa muda mrefuu mpaka akazlishwa watoto 2 then alipoenda "kujisalimisha" alipangiwa mahari ya sh.laki sita tu, na jamaa alilipa laki 4 na wanaishi huko Nyakanazi!
Dada yao mwingine, aliolewa na mtu wa karibu na Kijijini kwao, (huyo alikataa kwenda shule kwa ajili ya jamaa, yaani aliishia form 3) jamaa aliishia kulipishwa faini ya mbuzi 2 na mahari ya laki 6 pia!
Mama mtoto anajiuliza pia kwamba kwanini sisi anatuwekea uzibe na kuonyesha chuki ya wazi kiasi cha kutudhalilisha? Ananiambia hayupo tayari kuachana na mimi hata kama baba akimkataa (na hili naliona kabisa namna anavyokuwa upande wangu) lakini akili inaniambia, inawezekanaje kutengeneza undugu wa aina hii?
Nafika mahali naanza kuhisi pengine mzee ana chuki na watu wasio wa kabila lake tu?
Nimemshangaa sana jamaa kutaka kumkimbia mwanamke ambae anaonekana ni jasiri na mwenye kutumia akili na sio hisia kama jamaa.Mambo magumu ni kwa ajili ya wanaume na sio wavulana
Seriou unataka usikie maneno kama unaonewa, mara baba mkwe kakosea, mara achana nae maisha ni mapambano
Mwanaume ambaye sio mwoga wa maisha hilo ni jambo kama mwanamke hana shida, mama yake hana shida ni baba yake tu imetokea kutokuelewana alafu unaamua kuzira kuishi na mwanamke ambaye hana shida yeyote
Sasa ukiwa baba wa familia unaweza ipigania familia yako siku ukikutana na changamoto utaizira familia yako au kuisusa
Mwanaume akimbii changamoto anazikabili kwa ujasiri
Swala sio kuumizana ndo maana unatakiwa ndoa ni kwa ajili ya watu ambao wako tayari kupambanaHuo uanaume wa kuumizana na kufurahisha wakwe ni wa kipumbavu!
Uanaume wa kutafuta pesa kwa ajili ya familia yangu (mke na watoto wangu) ni sawa kabisa!
Tukubali tunakizazi cha wanaume waoga sana ambao kila wakikutana na changamoto kidogo wanakimbilia kuzira au kususaNimemshangaa sana jamaa kutaka kumkimbia mwanamke ambae anaonekana ni jasiri na mwenye kutumia akili na sio hisia kama jamaa.
Hamna jambo lisilo na suluhu. Itafte uoe huyo mwanamke. Naamini ni bora sana kwako kuliko kuja kuanza moja hawa wala shisha. Utakuja kujutia kumwacha huk mbele,itunze hii msg.Nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Kigoma tangu 2020, tulikutana chuo, na penzi likakolea haswaa!
Kipindi cha Covid penzi lilinoga zaidi kwani "Working from home" ilifanya muda wote tuwe pamoja, ilikuwa mwendo wa kwenda sokoni kununua mazaga zaga pamoja, tinaweka ndani then kila baada ya mlo ni mnyanduano tu, hatimaye binti
Kweli tembea uone, all the way from Dar to Kigoma, naenda kukutana na aibu tu, anyways.
Nipambane na changamoto za kuandaa maisha ya watoto wangu, then bado nipambane na changamoto za wazee wenye shari shari kama huyu, hapana!Tukubali tunakizazi cha wanaume waoga sana ambao kila wakikutana na changamoto kidogo wanakimbilia kuzira au kususa
Somo la ujasiri ikiwezekana inabid ifundishwe huko mashuleni mtu anataka kufanya jambo pasipokuwa na changamoto yeyote ile ikitokea tu anasusa aiseeee
Mkuu kataa kabisa unyonge wa kipumbavu. Na usijaribu kabisa kutoa million 4 kuhamisha mtu kuja kwako. Bora uwekeze milioni tatu halafu hiyo moja utafute pisi nyingine uoe. Kama huyo mzee anaendeleza itikadi za kipumbavu basi mwambie amuoe yeye huyo binti yake. Kutishiwa kurogwa sio rahisi, ni ngumu sababu wataloga baba wa mjukuu wao. Do you think what next mtoto anakua halafu aambiwe baba alirogwa na babu? Kama huyo mzee hatabadilika basi atamnyima haki mtoto wake wa kike ambae kiuhalisia anakupenda sana tu.Yaani nifunge safari kutoka Dar niende nikafanye uhuni Kigoma, inaingia akilini kweli?
N'a kama huo ndo mtazamo wao, hakika wananikosea sana, sio lazima nioe kigoma, nilienda kwa nia njema kabisa ila kama wametafsiri kuwa ni uhuni, basi nitawaacha wapate mstaarabu kwa tafsiri yao!
Kama changamoto ya mtu mmoja inakushinda ndo za maisha na purukushani za watoto utaziweza kweliNipambane na changamoto za kuandaa maisha ya watoto wangu, then bado nipambane na changamoto za wazee wenye shari shari kama huyu, hapana!
Kwangu nadhani kuanzisha familia ni jambo la kheri, halipaswi kufanywa kama kutafuta kazi, kwamba unafanya interview na michujo ! Haifaiiii
[emoji23][emoji23][emoji23] Na mwanangu wa Buhigwe hao watu ni wabishi kama maharagwe yaliochacha[emoji23][emoji23][emoji23]HIYO NI BUHIGWE MOJA
Hii sio changamoto ni upumbavu tu, yaani kama mtu anaweza kuona mimi n'a ndugu yangu kusafiri zaidi ya kilomita 1200 kutafuta undugu wenye nia njema kabisa kuwa ni upuuzi na kuamua kucheza na akili yangu kwa makusudi, halafu nijibembelezeshe kwa kuitazama kama changamoto, kwa kweli HAPANA!Kama changamoto ya mtu mmoja inakushinda ndo za maisha na purukushani za watoto utaziweza kweli
Pole sanaaa !Iliwahi nikuta scenario kama hiyo hiyo mwaka 2018 ,japo nashukuru Mungu nipo na binti yao mpaka leo
Mzee ujinga aliacha siku hizi aliniheshimu