Kwa maisha haya nisombe Kijiji kizima kwenda kulipa mahari, nauli n'a mahitaji mengine ya sisi kufika huko Kijijini ime-cost zaidi ya 500k (yaani nauli, kula na kulala) tungeenda 4 ingetugharimu 1M nzima, halafu kwenda wengi ndiyo kuna maana gani sasa?Yani we jamaa umekaa na mtoto wa watu, umemzalisha, umemtuma kwao ili uje kukamilisha taratibu za kuoa, wewe umemchukua ndugu yako mmoja eti mnaenda kujadili mahari, it doesn't make any sense, ni dharau na mazoea hayo. Kwani huko kwenu taratibu za kuoa zikoje? Au ndo ukishampiga mtoto wa mtu mimba ndo unatoka na rafiki yako kwenda kwa babamkwe kuuliza ni shangapi?
This is a wrong idea brother. Kikubwa, tafuta milioni moja, muombe Mshenga aipeleke kwa baba mkwe. Yeye atatafuta wazee wenye busara wakae na mzee waelewane wakiwa wao Waha peke yao. Si busara sana mtoto kulelewa na zazi mmoja.Mbaya zaidi ntalazimika kumuacha mtoto wao kwa makosa ya baba yake
Na ma-third party wanahusikaMapenzi ni ya wawili.....over!!
Mbaya zaidi ntalazimika kumuacha mtoto wao kwa makosa ya baba yake
Yeye afuate utaratibu wa ukweni. Yeye angekuwa kaenda kuposa binti yao bila kumzalisha wala mambo yasinge kuwa makubwa, Niliwahi kuishi Zanzibar wao Tamaduni zao zina bana mambo ya hovyo kama haya, kwanza Wazanzibari hakuna tabia ya kuishi na mwanamke bila kufunga ndoa yani uishi kama muomba ushauri alivyofanya.Sawa nimekusoma. Unashauri nini kifanyike??
Kwa hiyo baada ya kuzaa nilitakiwa kutokomea siyo?mtu huwa anapokelewa kama alivyo ingia kama uliingia na mikwara mingi pamoja na misifa kibao ya kihaya lazima ukamuliwe.kwanza hukuwa na adabu utamzalishaje binti yao bila ndoa? af ndo uende kumlipia mahali?
Kwa hiyoninsyodharaulika ni familia ya mwanamke tu, lakini ya mwanaume haidharauliki?Kila jamii inatamaduni zake, kama tamaduni zenu zina ruhusu Mtoto wakike azae nje ya ndoa au akipata mchumba waishi tu kiuni itakuwa sahihi, lakini kwa tamaduni zetu ukitaka kuoa lazima ufunge ndoa kisheria ya Dini , mira au Kiserikali, siyo mnakutana chuo au Dar mnaishi chumba kimoja mnazaa watoto hata familia ya mwanamke haikujui kwa utaratibu huu haikubaliki kimira wala kidini, unakuwa umeidharau familia ya upande wa mwanamke.
milion 4 ndogo sana kwa mtu makiniAiseeh umeingia cha kike,mambo ya kuokotana nabkuanza kuishi kienyeji ndo matokeo yake hayo🙏mzee anataka milion 4 yake lasivyo utakiona cha mtema kuni,ila hongera kutuongezea mrundi mwingine Tanzania kama maguful🤣🤣🤣
Jaribu kutafuta wazee wa kwenu wakaongee nae kiutu uzima, alichokasirika yeye ni wewe kuchelewa kwenda na ulivyoenda hukupaswa kwenda wewe Kwanza(wangeenda wazee).
👀😅😂😆😄👀KATAA NDOA
huyo si mke ni mzazi mwenzakeNikushauri tu kaka.
Usimuache mkeo kwa sababu ya wakwe zako. Mzee hana maisha anahitaji hiyo pesa akatanue. So wewe ishi na mkeo na usiache chema kisa wazazi. Nimemaliza
Hao ni wavurugaji wengi wao....vema wabaki kuwa wapenzi watazamaji, ukiwaintatein wananunua bandari 😁Na ma-third party wanahusika