Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Naona kama hadithi tu.

Yaani umemwambia kabisa mkeo mi nampenda sana mdogo ako akukupiga biti tu? Na mkeo akatoka akamwadithia mdogo ake kuwa shemejio anakupenda sana.....ha ha ha ha...wote 2 mtakuwa hamko sawa kichwani.

Anyway kama ni kweli basi huyo mdogo mtu ahamishwe akakae kwingine mbali.

Au si uende kwa wakwe tu uoe wote 2 shida ikwapi kwani? Ha ha ha ha
Sio kwel na haipo hivyo aliniambia ukidhubutu nawaachia nyumba mi natoka
 
Unakitoaje unachokipenda wataka nife[emoji14][emoji12][emoji12] hapa nikudai katiba mpya tu hakuna namna[emoji124][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]ndoa yako itakufa mazima uanze kupata stress had kugawana Mali mahakamani ndo utajua hujui. Yeye mkeo atamsamehe mdogo wake maisha yaendelee
 
Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.

Brother, mie najua wanaume woote tuna tamaa sana lkn unapaswa kujua halali na haramu. ukishindwa kujizuia hapo ipo siku utatembea na binti yako kwa kisingizio cha kushindwa kujizuia. Potezea kabisa.
 
Brother, mie najua wanaume woote tuna tamaa sana lkn unapaswa kujua halali na haramu. ukishindwa kujizuia hapo ipo siku utatembea na binti yako kwa kisingizio cha kushindwa kujizuia. Potezea kabisa.
Mmh bint yng hapan nimeshindwa wafanya kaz wangu wapo zaid ya 32 tena waremb kushinda ht huyu shem lkn sijawh ht kuw na hisia nao
 
Back
Top Bottom