Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.
Nakushauri umuoe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nyumba zetu siku hizi zina sitting room mbili na master.hatuchanyani na watoto sijui kuangalia kufli,sijui salun ya mama sijui.kuepuka vitu kama hivi.
 
Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.
Shemeji wa kike akiishi kwako tafuna tu,huwa mtamu kma dada yake jaribu ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom