Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Naona kama hadithi tu.

Yaani umemwambia kabisa mkeo mi nampenda sana mdogo ako akukupiga biti tu? Na mkeo akatoka akamwadithia mdogo ake kuwa shemejio anakupenda sana.....ha ha ha ha...wote 2 mtakuwa hamko sawa kichwani.

Anyway kama ni kweli basi huyo mdogo mtu ahamishwe akakae kwingine mbali.

Au si uende kwa wakwe tu uoe wote 2 shida ikwapi kwani? Ha ha ha ha
Chai hiil hujasoma hapo eti aliamua hadi kwenda kupanga mkoa mwingine ?
 
Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.
Leta namba sheikh tukuokoe.

Shemeji atakukula huyo ohooo.
 
Kakuendea kwa mganga ndio maana huwezi kujizuia
 
Back
Top Bottom