Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.
Wee Jmaaa nimekudharau sna huna akili yaani umekosakimshirikisha mshkaji wako maswal hay unaenda kumshirikisha mkeo eti u amzimia mdogo wake HV una maadili kweli au dah mjinga fln wew
 
Hapana broo washikaj wambea wife angeambiwa tu bora nimemwambia mm mwnyw [emoji41][emoji41]
 
Yaweza kuwa maan dah hatr
Dalili za kuwa umelogwa ni hizi.
Unakuwa kichwa kimevurugika sio uko fresh unajitambua unakuwa hujitambui yaani upo kama zuzu.

Halafu pia ukitoa maamuzi ni umetoa tu ila hujielewi umetoa maamuzi gani na kwanini.
Jingine ukiwa na mtu aliyekulogwa huwezi kujicontrol unakosa ngumu unaweza fanya vitu watu wakakushangaa

Hapo ujue umelogwa unakuwa mwili mzito mzito unajaribu kupingana na jamboo zito .
Jingine unaomba msaada kwa watu kwa hali hiyo ila kila mtu hakuelewi .

Kuwa serious nenda maombi au huyo shemeji atamuuwa mkeo nakumreplace .
Au kama nyie nikwa wataamu nendeni chapu .

Cha mwisho ni hiki mtoe nyumbani kwako kampangishie mbali.
Kivipi mtafutie kazi kama kagera aende zake na asirudi tena kuwa serious
 
Ushauri gani unampa huyu mjinga eti alishamshirikisha wife na kudai anasafirigi kukah mbali na na omu kisa huyo bint cjamngamua huyo mwamba
 
Ndio kwamba kalogwa yaani wote wanamchezea akili yake ndio maana hawezi kuficha chochote wewe unamwona ni mtu wakawaida kwako ila kalogwa kawekwa chini kuna kitu kinaitwa kuwekwa chini ndio kawekwa namke na dada mtu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umekazaa mwenyewe ni hivi inategemea huyo mke mnaish vp mm mke wangu tumechukuliana Zaid ya wapenZ ni marafik , watan, nk na kila mtu hucheza part yake kiufup ni dhaid ya ndoa na tuna enjoyed sana na wala sijutii
 
Ndio kwamba kalogwa yaani wote wanamchezea akili yake ndio maana hawezi kuficha chochote wewe unamwona ni mtu wakawaida kwako ila kalogwa kawekwa chini kuna kitu kinaitwa kuwekwa chini ndio kawekwa namke na dada mtu.
Dah hiyii dunia ngumu kumbe ina mifumo kabisa ukienda tofaut bas imekutenga [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.
Hizo hisia,ni pepo tu,kuzishinda,karibu kusikiliza mahubiri kuhusu uzinzi kutoka kwa wachungaji wanao jua kuhubili(sio wapiga deal kama Gwajima),msikilize Pastor T Mwangi kutoka Kenya,
Huyu nilisikiliza mahubili yake,kuhusu pornographic,hamu yote iliisha,unapata uvuvio unahisi Mungu anakuona.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120]
 
Hayo ni ya kawaida sana ila yapo mengine mengi unaweza kuendelea kufanya ili kimuweka karibu na wewe. Hata vizawadi zawadi, salare haitoshi mkonyezee lunch allowance ya mwezi, sometimes mtoe kwa shopping kimya kimya bila dada kujua (mwambie dada anaelewa vibaya wakati wewe unamjali kawaida tu so apige kimya amekua asiseme kila kitu, vivocha vocha vya kifurushi cha mwezi, simu zq kumjulia hali na maendeleo yake kwa ujumla....yaaani bila kuchoka then siku unatest kumshika ila ujifanye ni bahati mbaya uone atarespond vipi?)
Mwisho wa siku yamkute ya Ngoswe au sio😅
 
Mwisho wa siku yamkute ya Ngoswe au sio[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoswe penzi kitovu za uzembe
Sasa mtu anakwambia hadi anahama hom kwa ajili ya shemela, si bora amalizie halafu atulie...kwani watanyanduana milele....kikwetu shemela ni halali hata dada akitangulia mbele shemela anaweza kutake over na kulea watoto ili wasinyanyasike.
Ila wife akijua ajiandae kwa lolote lile
 
Sio kwa wanawake wa kibongo! Useme unamchakata mdogo wake hawezi kukuelewa
 
Ila jaman vidogo mtu vinakua vizuri sanaa..halafu unakuta ndio unamatch nako kwenye kila kitu automatically[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio kwa wanawake wa kibongo! Useme unamchakata mdogo wake hawezi kukuelewa
Kibongo(walio wengi) bongo watauana. Ila mm nimeona mahali tena ni ndugu yamemtokea kama haya na zaidi maana ilikuwa kila akiishi na ndugu wa kike analiwa na mumewe...ila walaaaa hakubabaika na ndugu zake alichofanya mda ulipofika kila mtu alitawanyika kujitegemea na ndoa ipo mpaka Leo
 
Back
Top Bottom