Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Ana moyo wa chuma
 
Kwa hyo zawad yangu lini mkuu? Halafu naskia una kampuni ya urithi...basi nipatie deiwaka hata ya uadimini
Ukiona nakuchek pm zawad imekamilika kuwa tu mvumilivu si wajua mamb ya sapla iziii hayo

Kwenye kampun ngoja tukae kikao cha ukoo si wajua tena vya urith[emoji1][emoji1]
Washahil wanakamsemo kao" vya kuazima sijui nini" si jui
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kuna wanaume wengine ka mishoga! Halafa kajitu kanasema kana vikampuni na magari ya urithi.

Wanaume wenzangu, usione umepata pata vishilingi kidogo ukaona uoe tu, kuoa ni ishara mojawapo ya kukomaa kiakili sio kujua ukirudi nyumbani utakuta umepikiwa nguo ziko safi nyumba iko safi na utajitombea muda wowote unaotaka.

Na nyie wanawake, sio kila mwanaume unaemuona anakupeleka out na shopping basi afaa kuwa mumeo na baba wa familia, wengine ni wakojoa kwa kusimama tu.
 
Dah vp jamii na ndugu watanionaje mimi?
Unawaza "jamii" na "ndugu" watakuonaje? Unawaogopa sana hao kuliko MUNGU?

Hivi ulishawahi kuwaza ikiwa ukilala na shemeji yako MUNGU atakuonaje? Au wewe huna "hofu" ya MUNGU bali una hofu na wanadamu wenzako?

Ndugu, ikimbie zinaa.
 
mshezi kweli kumbe jibu unalo
 
Hata mimi kijana wa 92 sijawahi kufikiria huo ujinga dah mkuu wewe ni TAIRA kama anthony taylor yule refa mpuuzi aliemlima james umeme.
 
Acha tamaa za kipumbavu. Je kama mdogo wako atampenda mke wako utajisikiaje? Kama unatoka kwenye makabila ambayo yana tabia za kipanya panya na kurukiana bila mipaka, utasikia ushauri wa kipumbavu kuwa we kata tu wakati matokeo yake utawaumiza mkeo na watoto na wewe mwenyewe. Tamaa mbele mauti nyuma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…