Nimetokea kuvutiwa kimapenzi na boss wangu wa kike

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kutoka kwa Rafiki yangu!

Juzi alinifuata masikani kuniomba ushauri kwamba ametokea kuvutiwa kimapenzi na boss wake wa kike anapofanyia kazi lakini anaogopa kumwambia ukweli wa hisia zake kwa kuhofia atafukuzwa kazi. Na pia anadai si mke wamtu.

Sasa mimi ni kamshauri kwamba ajaribu siku kupiga naye stori kama ni boss ambaye ni mcheshi kwa wafanyakazi wake, na ajaribu kuumuliza vimaswali fulani hivi kuhusu mahusiano moja wapo kama je siku mfanyakazi wake wa kiume akitokea kumtongoza atakubali kuwa naye kwenye mahusiano?

Vipi wadau hapo? Au amtokee moja kwa moja tu kama ubaya ubwela tu.

Naombeni ushauri wenu nanyi wa ziada ni muokoe jamaa yangu!
 
Senzi we. Kwani uliomba kazi au kuvutiwa na bosi wako? Kasome the 48 Laws of Power ujue kinachokusubiri kwa uzwazwa na tamaa vyako.
Binadamu kuna nyakati anakutana na hisia tofauti ajalishi kuna sheria au hakuna, kwani wanaiba au kubaka kwani hajui kufanya hivyo ni kosa kisheria? So acha na wewe ushezi wa maarifa finyu
 
Binadamu kuna nyakati anakutana na hisia tofauti ajalishi kuna sheria au hakuna, kwani wanaiba au kubaka kwani hajui kufanya hivyo ni kosa kisheria? So acha na wewe ushezi wa maarifa finyu
Kumbaff kabisa. Umejijibu kuwa binadamu wanazidiwa hadi kuvunja sheria. Endelea na tamaa zako uone kitakachokutokea. Nijuacho ni kwamba utanikumbuka nyambaff wewe. Kwanini usijulize swali rahisi. Kama anakuvutia wewe, hawezi kuwavutia wengine? Je atachukuliwa na wangapi kama mwanangu lau utatumia akili japo kiduchu? Jiulize tu.
 
Ben Afleck alikuwa dancer wa Jenifer Lopez kisha akaingia uhusiano nae wa kimapenzi na kuoana nae.
Boss JLo hakumfukuza kazi Ben.
Kunadau humu anasema mapenzi hayana formula.
 
Mtu mwenyewe ni wewe. Tunakuona tu unavyofukuzwa kazi soon 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ben Afleck alikuwa dancer wa Jenifer Lopez kisha akaingia uhusiano nae wa kimapenzi na kuoana nae.
Boss JLo hakumfukuza kazi Ben.
Kunadau humu anasema mapenzi hayana formula.
Sawa Jeniifer Lopezi wa Buza tumekuelewa endelea utapata unachotakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…