Nimetokea kuvutiwa kimapenzi na boss wangu wa kike

Enewei hujavutiwa hizo ni nyegere tu mwanetu, ukishakojoa utamuona kama kibwengo.
 
Kazi yenyewe umetafutiwa na ndugu yako baada ya kukaa bechi toka 2019 ulipomaliza Udsm faculty of education sahivi umetafutiwa kazi kwenye M-pesa unataka umtongoze tajiri ukifunguzwa kazi unasema umelogwa na ndugu zako usipate ajira
 
Kwenye kesi kama hiyo bosi ndo anaye takiwa kukuanza ukimuanza ww jua una %95 ya kupoteza kazi yako.
 
Mwambie atulize nyege mshindo lasivyo kazi itamshinda, vijana wa VETA wanahitaji iyo nafasi kama amechoka kula Hela za sirikali
 
Alikuja ataacha, unachanganya mapenzi na kazi unategemea nini?

Let's say, ametongoza na amekubali, je, maisha kazini yatakuwaje? Mnajitaftia umasikini wa kudumu
 
Aisee mwambie aache ujinga, afanye kazi, wanawake ni wale wale wenye kulipa visasi, mtaanza mapenzi vizuri ila mkipishana kauli tu, tatizo haliishii huko mlikopishana linaenda mpaka kazini, asifanye huo ujinga ataharibu kazi
 
Boss nae ni ntu, ana hisia as well. Halafu pia hawa watu wanaogopwa sana na wanaume, usikute nae anaisubiri hiyo moment
 
Ajira mmae kama amechoka kazi mwambie aendelee kuvutiwa na tako la boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…