M Mnanguliti JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 941 Reaction score 2,759 Mar 28, 2025 #41 Mwanaume ni boss wa mwanamke siku zote, we mtafutie angle nzuri tu mwambie ukweli si ajabu ndiyo akawa mke wako baadaye.
Mwanaume ni boss wa mwanamke siku zote, we mtafutie angle nzuri tu mwambie ukweli si ajabu ndiyo akawa mke wako baadaye.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Mar 28, 2025 #42 Kwan boss wake mwenyewe anasemaje? ππππ
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,816 Mar 28, 2025 #43 Titicomb said: Ben Afleck alikuwa dancer wa Jenifer Lopez kisha akaingia uhusiano nae wa kimapenzi na kuoana nae. Boss JLo hakumfukuza kazi Ben. Kunadau humu anasema mapenzi hayana formula. Click to expand... Ikiwa Ben Afleck ndio standard ya mapenzi kwa mabosi, basi na ajaribu.
Titicomb said: Ben Afleck alikuwa dancer wa Jenifer Lopez kisha akaingia uhusiano nae wa kimapenzi na kuoana nae. Boss JLo hakumfukuza kazi Ben. Kunadau humu anasema mapenzi hayana formula. Click to expand... Ikiwa Ben Afleck ndio standard ya mapenzi kwa mabosi, basi na ajaribu.