Kuna tofauti kati ya shyness,lowself belief,introversion.We unasumbuliwa zaidi na low self belief,Tabia yako ya kutopenda kuongea sio introversion ni shyness na low self belief inakupelekea kuwa anxious pale unapotaka kuchangia point sababu ya fear of rejection,fear of doing mistake e.t.c.Na ndio maana unaona kama unadharauliwa,hupewi ushirikiano or umetengwa.Mtu hawezi kukupa ushirikiano wakati you are dis engaged.Anza kujikagua vizuri.Ndugu wana nzengo.
Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.
Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.
Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.
Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.
Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
mzee wa 40s bado hujajua kuishi na watu? utajua lini sasa mkuuNdugu wana nzengo.
Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.
Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.
Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.
Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.
Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Sawa huyo co worker inawezekana ana matatizo lakini pia wewe jichunguze vizuri. Haingii akilini wewe unapaki gari Mbezi kusave mafuta na huyo anayekuja na gari mpaka ofisini anajua hilo kisha akupe lift wakati wewe umesave lakini unataka yeye atumie mafuta yake kukupeleka Mbezi kila siku wakati gari unayo.Umengea neno kubwa sana.
Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
Nimekuambia ishi nao vizuri ila usiwape umuhimu mkubwa na pia katika historia yangu ya kazi, sikumbuki kuchukiwa na workmates maana huwa na_vibe na kila mtu ila ikitokea mtu akanichukia au akanikalia kimya.Kwa hiyo katika wafanyakazi Watano unaofanya nao kazii wote wanakupotezea wew mmoja unaona Upo sawa kabisa???? Acheni hizo attitude za ovyooo mnaishi na watu kama wachawiii...
Duh kama umefika 40s na una mawazo kama haya basi WEWE ni changamoto kubwa yaani unatafuta VALIDATION kazini?Ndugu wana nzengo.
Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.
Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.
Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.
Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.
Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Hao watu mnashindwaje kuendana nao?Ndugu wana nzengo.

Wewe huna tatizo,SEMA una create matatizo uonekane una tatizo!!Umengea neno kubwa sana.
Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
Uongo!Sojawahi ku masterbate
Usimchukie huyo dada ila kwa Tabia uliyoisema pale mwanzo watu wengi hawawez tofautisha ukimya na kujidai, deeply huyo dada ameconclude kwamba wewe unajisikia/unajidai au unakiburiAsante mkuu. Umeongea kunako
Hatimaye nimeiona coment niliyokuwa naitafuta.Akili hii unafanya kazi ofisi nyeti?....
Labda nyeti zako
Makabila yao hao wenzio na wewe?Hahaha no men ninejitosheleza mkuu