Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Wewe ndio unataka attention yake ndio maana unahangaika.

Unataka umgonge itakuwa

Anyway,

If you are at 40s it means that wewe ni mtu mzima kwa nini unahangaika kuchangamkia ma watu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo liko kwako, wanakuona hufanani nao, wao ni swala wewe ni simba, jifunze kuishi maisha ya kijamii; wanaweza kuhisi labda wewe ni wale watu wanaojipendekeza kwa mabosi ili uonekane unapiga sana kazi.
Jaribu kuwa mchangamfu na kaa mbali na mabosi zako.​
 
Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Kuna tofauti kati ya shyness,lowself belief,introversion.We unasumbuliwa zaidi na low self belief,Tabia yako ya kutopenda kuongea sio introversion ni shyness na low self belief inakupelekea kuwa anxious pale unapotaka kuchangia point sababu ya fear of rejection,fear of doing mistake e.t.c.Na ndio maana unaona kama unadharauliwa,hupewi ushirikiano or umetengwa.Mtu hawezi kukupa ushirikiano wakati you are dis engaged.Anza kujikagua vizuri.
 
Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
mzee wa 40s bado hujajua kuishi na watu? utajua lini sasa mkuu
 
Umengea neno kubwa sana.

Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
Sawa huyo co worker inawezekana ana matatizo lakini pia wewe jichunguze vizuri. Haingii akilini wewe unapaki gari Mbezi kusave mafuta na huyo anayekuja na gari mpaka ofisini anajua hilo kisha akupe lift wakati wewe umesave lakini unataka yeye atumie mafuta yake kukupeleka Mbezi kila siku wakati gari unayo.

Jambo lingine ni kwamba ufahamu kuwa huwezi pendwa na kila mtu. Kuna mtu anaweza kukuchukia bila sababu yoyote. Hujamkosea basi tu anakuchukia. Hata Yesu hakupendwa na kila mtu ndio maana wale mahaters wake walimtandika mijeleji na kumsulubu msalabani. Cha msingi ukishagundua hilo kaa mbali na mtu kama huyo ikiwa ni pamoja na kutoshabikia mambo yake. Over
 
Kwa hiyo katika wafanyakazi Watano unaofanya nao kazii wote wanakupotezea wew mmoja unaona Upo sawa kabisa???? Acheni hizo attitude za ovyooo mnaishi na watu kama wachawiii...
Nimekuambia ishi nao vizuri ila usiwape umuhimu mkubwa na pia katika historia yangu ya kazi, sikumbuki kuchukiwa na workmates maana huwa na_vibe na kila mtu ila ikitokea mtu akanichukia au akanikalia kimya.

Kama sijamfanyia chochote kibaya, sihangaiki nae bro hadi siku atakayoamua kuongea
 
Mkuu Itakuwa Umeanza Kumtamani Au Umekuwa Mtu Wa Kujifanya Kiongozi Kati Yao.

Anza Kwa Kujitathimini Wewe Mwenyewe Kwanza Uone Wapi Ikasababisha Yote Hayo Kabla Ya Kuanza Kwa Wengine
 
Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Duh kama umefika 40s na una mawazo kama haya basi WEWE ni changamoto kubwa yaani unatafuta VALIDATION kazini?

Skiza wewe

Fanya kazi, pata mshahara wako sepa zako

Kazini sio sehemu ya kutafuta urafiki na affection. Pale upo KIKAZI

GROW UP MEEN!
 
Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Hao watu mnashindwaje kuendana nao?

Mtu akikupotezea wewe unakuwa Mwalimu wake wa somo la kupotezea, Focus na mambo yako.
 
Umengea neno kubwa sana.

Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
Wewe huna tatizo,SEMA una create matatizo uonekane una tatizo!!

Kwanza Fanya kazi zako muhimu zinazokuhusu halafu muda huna kazi tafuta laptop na earphone check movie kali kabisa achana NAO hao!!
 
Mwanaume unalialia kwamba mwanamke anaku-ignore, kama unamzimia sana force king mzee vinginevyo unatuaibisha sana mabaharia.
 
Sasa kama wewe sio mtu wa kuongea wala kuchangamka unataka wao wakuchangamkie vipi,kazini kila mtu anangalia wanaoendana,otherwise ubadilike wewe mi sioni kosa lake.
Utamzoea vipi mtu mkaksi na asiyependa mazoea
 
Asante mkuu. Umeongea kunako
Usimchukie huyo dada ila kwa Tabia uliyoisema pale mwanzo watu wengi hawawez tofautisha ukimya na kujidai, deeply huyo dada ameconclude kwamba wewe unajisikia/unajidai au unakiburi

Ninauzoefu na Hilo coz ndivo nilivyo, kumzoea mtu inaweza chukua mwaka, akiwa na yeye ndio kama Mimi Hali inakuwa mbaya zaidi,
 
Kuwait positive sana don't hate anybody.

If your introvert means your very familiar with quit place

Wasalimie watu wote and give them what they deserve .

Ikiwa hawakupi ushirikiano , endelea na kazi then kasome mambo ya Emotions intelligence you will just understand how to deal with ur Co-worker easily.
 
Back
Top Bottom