Nimetokea Mbali

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523

Maisha starehe enzi hizooooo!
 
Attachments

  • 185977_191141797584474_100000659646639_543071_7462365_n.jpg
    22.8 KB · Views: 58
Kwa sababu tumeshakula, tunaweza kwenda kuoga kwani hata gari tumeshaliona!!!!!!!
inafurahisha mtumishi
 
Rev. hiyo sio boxer....mzee wewe Yanga tangu kitambo nini ?

Tangia enzi zile za zamani Ni Yanga na Chelsea Ukubwani baada ya kuanza kuona TV. Hapo tunafurahia gari limekuja kijijini kununua mazao.
 
Tangia enzi zile za zamani Ni Yanga na Chelsea Ukubwani baada ya kuanza kuona TV. Hapo tunafurahia gari limekuja kijijini kununua mazao.

Safi sana yaani full furaha hunahaja ya kuumiza kichwa ukifika home wewe unadai tu chakula hakuna mafrastration ya mgao wa umeme.
 
Rev umenikumbusha, itabidi niwasiliane na nyumbani wanitumie za kwangu ili nicheke.
 
Mchungaji kumbe bado unayo hii picha? umenikumbusha mbali sana zile enzi zetu, hebu nicheki hapo kati nilivyokua nakatika, watoto wa Dot.com wanaita Alaji sijui!! hahaha
 
Mchungaji kumbe bado unayo hii picha? umenikumbusha mbali sana zile enzi zetu, hebu nicheki hapo kati nilivyokua nakatika, watoto wa Dot.com wanaita Alaji sijui!! hahaha

Umeanza kucheza kiduku tangia zamani kumbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…