Nimetokea Mbali

Nimetokea Mbali

very nice one Rev Masanilo utoto mzuri sana ,,,,huna tyme na maisha mengine natamani kuwa malaika ...natamani kuwa mtoto.
 
Ahaaa ahaaa Masa mimi nafikiri huyo wa katikati ndio wewe maana enzi hizo ulikuwa unajua sana kuyarudi sijui bado kipaji hicho unacho lol
 
Ha ha ha! Hao mbona kama wanacheza kiduku.
Kilikuwepo kumbe.
 
185977_191141797584474_100000659646639_543071_7462365_n.jpg


Maisha starehe enzi hizooooo!

Kwa hizi picha Masanilo inawezekana bado ni kijana mdogo sana, siku za nyuma sisi kulikuwa hakuna picha za rangi, harafu pili ilikuwa huwezi ukakaa mbali na gari namna hiyo maana ilikuwa ni vigumu kuona gari na likionekana mahala nilazima tuende tulizunguke kulishangaa.
 
Una bahati mchungaji, mi picha zangu za utoto zilipotea bana
 
Back
Top Bottom