Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Hutasema hapa.

Dogo huyo ni jasiri na ninamsifu.

Subiri tu. Labda ubadili bucha.
Sidhani kama kataendelea tena, maana nilikafyonza kwa nguvu sana na kwa dharau
 
nakushauri ukirudi umpe namba ili nafsi yake iburudike....
alafu nahc unabonge la chura maana huo ndo ugonjwa wetu mkuu bila kujali rika
 
Back
Top Bottom