KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
not to sound elitist, lakini mtu kala ziro kwenye elimu zote alizopita, anakuaje kiongozi kwenye nchi "inayojielewa" au labda sisi hatujitambui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kutumbuliwa sio rahisi, kama sabaya kaachiwa huyo bibi kadhaanza kuchukua mlengo wa kihafidhinasio rahisi namna hiyo. mwenye kula kichwa angekuwa msikivu angesikiliza ushauri aliopewa hadi watu wakamsingizia makubwa kama vile ukiona dogo anatoka chumbani kwa bimkubwa wako mheshimu. jambo linaloweza kuwa sio la kweli ila kutokana na ambavyo hakusikiliza ushauri, watu walimwambia sana kwamba hicho ni kirusi, kifute kabisa. hata alivyomtetea kwa mwarabu wa yanga kuhusu ile nyumba si unakumbuka alimsema kwenye kikao kwamba mwarabu na wewe tunajua mambo yako mengi yasiyofaa, si alikuwa anamtishia ili aachie nyumba ya mwenyewe huyo, kituko cha taifa, chukizo la uharibifu wa nchi, na aibu ya uongozi.
Hiyo elimu ya makonda, jk na huyu bibi mbona zote ni tia maji tia majinot to sound elitist, lakini mtu kala ziro kwenye elimu zote alizopita, anakuaje kiongozi kwenye nchi "inayojielewa" au labda sisi hatujitambui
Atajifunzaje Wakati akili zake kaziweka makalioni?Huyo jamaa huwa hajifunzi I don't know why! Dah!
mburudishaji akitumbuliwa utamburudisha wewe? mnapoteza muda huyo wala hatumbuliwi kwakuwa ndiyo hirizi yake kuu kwa kura nyingi za kanda ya ziwa mwakaniWekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
ase ahahah ahahah bc wewe ni mwehumhh mpaka mama etu kavua ushungi ujue "kazi ipo"
wazikane tuWekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Tena msomi kuliko ndio maana kashambuliwaDada wa watu kajibu kistaarabu kabisa..... Konda boy akawa anamuingilia kabla hajamaliza ili tu amchanganye..
Alooh Makonda huu uzi inaonekana wengi mna chuki naeKwa Makonda wanaompa uongozi wanalazimisha. That chap is good for nothing.
Makonda hawatakaa wamuweze wengi ni washenzi tu! Hao UWT na LHRC walishafanya nini kuzuia uonevu kwa wanawake na ukosefu wa maadili!Alooh Makonda huu uzi inaonekana wengi mna chuki nae
Wewe usiyeelewa Mama alilazimishwa kumtoa Makonda haikuwa matakwa yake! Uwe unaelewa na Makonda hawezi kutolewa Ukuu wa Mkoa kwa shutma za kitoto kama hizo!Ngumu sana kumbuka aliyemteua siku yakumuapiza mbele ya vitabu vyadini alimsifu kwa kazi nzuri eti aliwaamsha wao na chama chao...Tena alisema hayo akiwa mwezi mtukufu wa RAMADHANI!!
Nchiyetu imekosa kabisa viongozi, tuna mavi ongoz wengi wasiojua maana wala principles za uongozi na tuna mawanaa nchi wanaosifu hovyo kama mahaya one!
Nchi kitendawili hii!!!
upepo tu,utapita:makonda wanyooshe hao wasio wajibika.Ndo bas tena
☹️upepo tu,utapita:makonda wanyooshe hao wasio wajibika.
Kenge huwa hasikii mpaka avuje damuAlivimba kichwa sana baada ya kupewa second chance akadhani anaogopwa na kuheshimiwa kumbe alikuwa anahurumiwa.
Utapata faida gani sasa?Akitemwa nitafanya sherehe
Hata kama hana usafi ndiyo aibiwe nyumba?GSM nae ana usafi gani?