Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Yule kutumbuliwa sio rahisi, kama sabaya kaachiwa huyo bibi kadhaanza kuchukua mlengo wa kihafidhina
 
mburudishaji akitumbuliwa utamburudisha wewe? mnapoteza muda huyo wala hatumbuliwi kwakuwa ndiyo hirizi yake kuu kwa kura nyingi za kanda ya ziwa mwakani
 
wazikane tu
 
LHRC wamekaa, UWT wamesimama, hoja ni moja tu, asulubishwe,asulubishwe, asulubishwe, mimi ni nani hata niwapinge.
 
Ngumu sana kumbuka aliyemteua siku yakumuapiza mbele ya vitabu vyadini alimsifu kwa kazi nzuri eti aliwaamsha wao na chama chao...Tena alisema hayo akiwa mwezi mtukufu wa RAMADHANI!!
Nchiyetu imekosa kabisa viongozi, tuna mavi ongoz wengi wasiojua maana wala principles za uongozi na tuna mawanaa nchi wanaosifu hovyo kama mahaya one!
Nchi kitendawili hii!!!
 
Wewe usiyeelewa Mama alilazimishwa kumtoa Makonda haikuwa matakwa yake! Uwe unaelewa na Makonda hawezi kutolewa Ukuu wa Mkoa kwa shutma za kitoto kama hizo!
 
Huyu jamaa kazungukwa na viongozi wa dini wakubwa mfano Cardinal Pengo Ina maana Huwa hawamshauri? Au ndio wanaishi naye kinafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…