Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Unaamini hayo ulioorodhesha yooote aliyafanya Kwa utashi wake au kwa maelekezo fulani ya system!!?

Kuna mambo lazima ujiulize kwanini yalitokea kabla hujatuhumu uhusika wa mtu!!!

Tuna tatizo kubwa cognitive thinking watz wengi!
 
Na liwe kama ulivyonena. Mana masalia ya yule shetani jpm hatuyataki kabisa
 
Reactions: G4N
expand...
Amakweli Dunia ina mambo, "KINYAGO" walicho kichonga wenyewe leo kinawatisha, wanakimbia..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Reactions: G4N
Huyo jamaa huwa hajifunzi I don't know why! Dah!
Elimu, elimu, elimu.
Ni sawa na kupata pesa bila elimu. Hukosi dharau kwa wenye elimu zao. Refer yule bwana wa Geita.
 
Reactions: G4N
Mtu ana mafuriko kuliko katibu mwenezi na mwenyekiti wake kwa pamoja ukiwachanganya
 
Ni mtu wa hovyo kabisa huyo.
Unataka awachekee wale mafala ........unakuta jitu linasema kibanda cha mlinzi kukijenga ni milioni saba limesaini limetoka na pesa ........nimeona kama lile banda la kupokelea samaki eti limejengwa kwa milioni 50 kubabeki lile hata milioni tano tu halifiki mtu kaandika 50 .........makonda wewe endelea kuwapaka futa kwa fujo sana.......mpaka wataelewa
 
Sasa uzembe wa huyo dada ni upi? Hivi unafikiri watu wote wanajua kutumia mic? Kwa hiyo ukiajiriwa ukawa kiongozi ujifunze na namna ya kuongea na mic kwenye hadhara. Hujawahi kuona mtu anaweza kuelezea kitu kwa logic ya kiwango kwa watu wachache, lakini kwenye kundi kubwa akashindwa, labda awe anasoma. Na kwenye mkutano hiyo kuna maswali ya ghafla ambayo siyo rahisi yote yakawa na majibu ya papo kwa papo. Kwa mfano Ile issue ya maji kuvuja, haiwezekani hizo leakages zimetokea tu, zipo tabia za wafugaji wengi kuiharibu miundo mbinu ya maji makusudi kwa ajili ya mifugo yao. Na kazi za kuajiriwa nyie zisikieni tu, unaweza kukuta hao watendaji wanakwamishwa na viongozi wao juu, na siyo rahisi ukawataja kwenye mikutano hiyo ya hadhara.
Badala ya kuwaita hadharani na kuwazodoa mbele za watu ambao wengine hawaelewi chochote zaidi ya kushangilia tu. Mkuu wa mkoa angeagiza hatua za kushughulika na tatizo na kuweka deadline ya utekelezaji ingetosha sana.
 
Kwanza amemsemesha kwa dharau kubwa mnooo. Hata ivyo huyo dada/mama ni mvumilivu sana.
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…