Aisee! Wewe ni jasiri sana.Ukiidharau silaha hizi muhimu (hekima & busara) katika maisha ya kawaida na ya kila siku na hususani ukiwa kiongozi wa watu, basi hufiki popote hata uwe mjanja kiasi gani.
Kinyume cha "hekima" ni "ujinga". Unaikataa hekima, basi wewe ndiye hasaaaa mjinga...
Baba yenu Magufuli yuko wapi? Kama unafikiri ni "mapenzi ya Mungu", umechanganyukiwa. Huyo alijiua mwenyewe kwa ujinga wake..
i huwa simshangai Makonda ,nawashangaa wanaomshangilia ...ila kubwa zaidi ,Namshangaa anayemteuaga' 🤔Kwa Makonda wanaompa uongozi wanalazimisha. That chap is good for nothing.
Aliyekutonya kakudanganya.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Kuna wapumbavu watamchgua huyu awe Mbunge wao.
So kipenyo cha mjomba wako kinasemajeMjomba wangu ni afisa kipenyo, alichoniambia soon tutasimuliana.
Naomba Mungu Paul Makonda asitenguliwe bali aendelee na hiyo kazi aliyoanza ili 'kuharakisha anguko' linalosubiriwa kwa hamu na gamu!Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Huu ni udhalilishaji, mashirika ya watetezi watoe tamko
Ni mtu wa hovyo kabisa huyo.Akitulia anakia kiongozi mzuri, tatizo mdomo, hana brakes and that is a bad news
Hii mtu ni kichwa ngumu na (hana adabu) ethics za uongozi hazipo kwenye ubongo wake aliwe tu kichwa!.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
CrapWekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Wabongo mna roho mbaya sana and usikute pia wew ni mshirikina na masikini wakutupwa huko ulipoYaani hatoboi this time, badala yake atatoboka.
Na sipati picha kesho Maulid Kitenge atakavyosoma gazeti la Mwanahlisi
Nyodo za huyo dada ziko kwenye hiyo clip au kuna clip nyingineKabla ya kuambiwa utumbo huyo dada alikuwa anajibu kwa dharau ndio yakamkuta makubwa. Sijui nini kilimfanya huyo dada ajiamini kutoa majibu kwa nyodo kiasi kile, on the spot akapewa shombo za uso bila chenga. Kwa kusilibwa vile na makonda haileweki makonda naye anajiamini nini kumtolea maneno ya shombo dada yule, ina maana hataki ukuu wa mkoa, anataka kurudi benchi?
Stupid nonsense!.Ukiidharau silaha hizi muhimu (hekima & busara) katika maisha ya kawaida na ya kila siku na hususani ukiwa kiongozi wa watu, basi hufiki popote hata uwe mjanja kiasi gani.
Kinyume cha "hekima" ni "ujinga". Unaikataa hekima, basi wewe ndiye hasaaaa mjinga...
Baba yenu Magufuli yuko wapi? Kama unafikiri ni "mapenzi ya Mungu", umechanganyukiwa. Huyo alijiua mwenyewe kwa ujinga wake..
SawaWekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Kuna taratibu za kuiwajibisha viongozi wazembe kazini na sio kudhalilishana hadharani.Wanafiki mmetia timu kazini kuleta umbea na fitna.
Tena mimi ningekuwa makonda ningemchapa viboko huyo dada.
Kuna watumishi wazembe sana na wajinga, ni kucharaza mboko mpaka wanyooke kama rula.
Samia aniteue mimi Bichwa Komwe nimuonyeshe venye watumishi wananyooshwa.
Hahaha unqjua Watanzania ni wapuuzi sana!Hakuna hekima kwenye ujinga.
Mtu mjinga unapasuka nae jumla jumla.
Hekima kanisani huko na kwenye jumuia za mtakatifu petro.
Aondolewe hafai ni ndhalikishaji na mbadhirifu.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.