Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Ukiidharau silaha hizi muhimu (hekima & busara) katika maisha ya kawaida na ya kila siku na hususani ukiwa kiongozi wa watu, basi hufiki popote hata uwe mjanja kiasi gani.

Kinyume cha "hekima" ni "ujinga". Unaikataa hekima, basi wewe ndiye hasaaaa mjinga...

Baba yenu Magufuli yuko wapi? Kama unafikiri ni "mapenzi ya Mungu", umechanganyukiwa. Huyo alijiua mwenyewe kwa ujinga wake..
Aisee! Wewe ni jasiri sana.
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Aliyekutonya kakudanganya.
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Naomba Mungu Paul Makonda asitenguliwe bali aendelee na hiyo kazi aliyoanza ili 'kuharakisha anguko' linalosubiriwa kwa hamu na gamu!
 
H
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Hii mtu ni kichwa ngumu na (hana adabu) ethics za uongozi hazipo kwenye ubongo wake aliwe tu kichwa!.
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Crap
 
Kabla ya kuambiwa utumbo huyo dada alikuwa anajibu kwa dharau ndio yakamkuta makubwa. Sijui nini kilimfanya huyo dada ajiamini kutoa majibu kwa nyodo kiasi kile, on the spot akapewa shombo za uso bila chenga. Kwa kusilibwa vile na makonda haileweki makonda naye anajiamini nini kumtolea maneno ya shombo dada yule, ina maana hataki ukuu wa mkoa, anataka kurudi benchi?
Nyodo za huyo dada ziko kwenye hiyo clip au kuna clip nyingine
 
Ukiidharau silaha hizi muhimu (hekima & busara) katika maisha ya kawaida na ya kila siku na hususani ukiwa kiongozi wa watu, basi hufiki popote hata uwe mjanja kiasi gani.

Kinyume cha "hekima" ni "ujinga". Unaikataa hekima, basi wewe ndiye hasaaaa mjinga...

Baba yenu Magufuli yuko wapi? Kama unafikiri ni "mapenzi ya Mungu", umechanganyukiwa. Huyo alijiua mwenyewe kwa ujinga wake..
Stupid nonsense!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Sawa
 
Wanafiki mmetia timu kazini kuleta umbea na fitna.

Tena mimi ningekuwa makonda ningemchapa viboko huyo dada.

Kuna watumishi wazembe sana na wajinga, ni kucharaza mboko mpaka wanyooke kama rula.

Samia aniteue mimi Bichwa Komwe nimuonyeshe venye watumishi wananyooshwa.
Kuna taratibu za kuiwajibisha viongozi wazembe kazini na sio kudhalilishana hadharani.
 
Hakuna hekima kwenye ujinga.

Mtu mjinga unapasuka nae jumla jumla.

Hekima kanisani huko na kwenye jumuia za mtakatifu petro.
Hahaha unqjua Watanzania ni wapuuzi sana!
Wanasema wanataka hekima ila ukiwauliza hekima hiyo walikuwa nayo akina Warioba Nyerere,Kawawa nk
Lakini wizi na umasikini uko palepale!
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Aondolewe hafai ni ndhalikishaji na mbadhirifu.
 
Back
Top Bottom