Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Makonda hana tatizo..tatizo lipo kwa wanaomteua (sidhani kama vetting huwa inafanyika vizuri) ...kwa nn anateuliwa na kupewa nafasi ya kuongoza wananchi wakati hulka yake inajulikana...wampe nafasi akae kwa ofisi tu kama wanamhitaji...
 
Mamlaka ya uteuzi inajitahidi sana kumbeba. Kwamba kabla mamlaka ya uteuzi haijawa na mamlaka kamili, iliombewa mamlaka ndogo na Makonda. Hilo ndilo linalomgharimu mama.
 
Mpuuzi!
 
Huyo ni Mtoto pendwa wa mama. Afurushwe? Mtasubiri sana
 
Acheni Makonda afanye kazi yake
 
Huo ni mtazamo wako tu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…