Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Wanachagua vichaa kuwa viongozi
 
Hao wanaobehave wamefanya nini la maana! Nyioe wabongo wanafiki na hamna jema! Hao viongozi wanaojidai wana hekima ndo hao wanauza banadari na kufanya ujinga ujinga kila leo! Acha kila mtu abebe msalaba wake!
Mtu abebe msalaba kwa kutwezwa? Huko ambako siyo bongo watu wanakodhalilishana ni wapi?
 
Mkuu agiza ulanzi ntalipa ,unajua watu wanafki sanaaa utafikiri hawajawahi kukumbana na " miungu watu" maofisini huyo dada ni mfano wa wachache kabisa wanaojisahau sana wakiwa maofisini,
Ni wanyama nenda mahospitali,nenda mahakamani,nenda police ,nenda Nida,nenda sijui wilayani ,yani utabetuliwa mdomo mpaka ujione mbwa koko,
Acha tu ,
Kabisa 👁😇
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Nendeni mkamfufue huyo mshamba wenu ingawa hii nchi si mali yake. Akichemsha lazima aondoke.
 
Back
Top Bottom