MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Mpuuzi!Kama akimtumbua just for that kauli,Basi Samia 2025 Asahau kushinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi!Kama akimtumbua just for that kauli,Basi Samia 2025 Asahau kushinda.
Amefanya nini wakuu naomba hata link tuuuu nisome mwenyewePaul Makonda mwisho wako umefika.
Hatua ni pamoja na kumcharaza bakora hadharani.Kwani hakuna hatua za kumchukulia mtu mzembe!
Sijaona tatizo la clipu
Wanachagua vichaa kuwa viongoziWekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
👁😷😇Kwa lipi? Nyie sijui mnafikiria kwa kutumia nini? Bashite ni mtoto mdogo sana nchini. Ni kachawa kadogo sana kale kajamaa.
Jamaa hajui hata mkuu wa mkoa anapaswa ku behave vipi? Unatatua kero kwa kutweza utu wa watu?Mjomba wangu ni afisa kipenyo, alichoniambia soon tutasimuliana.
By the Minister is very smart, anavaa vizuri sana
Hao wanaobehave wamefanya nini la maana! Nyioe wabongo wanafiki na hamna jema! Hao viongozi wanaojidai wana hekima ndo hao wanauza banadari na kufanya ujinga ujinga kila leo! Acha kila mtu abebe msalaba wake!Jamaa hajui hata mkuu wa mkoa anapaswa ku behave vipi? Unatatua kero kwa kutweza utu wa watu?
Smart kimavazi ila utendaji ndo taabu sana!By the Minister is very smart, anavaa vizuri sana
Hatua ni pamoja na kumcharaza bakora hadharani.
Sasa hii nayo ina tatizo gani?
Mtu abebe msalaba kwa kutwezwa? Huko ambako siyo bongo watu wanakodhalilishana ni wapi?Hao wanaobehave wamefanya nini la maana! Nyioe wabongo wanafiki na hamna jema! Hao viongozi wanaojidai wana hekima ndo hao wanauza banadari na kufanya ujinga ujinga kila leo! Acha kila mtu abebe msalaba wake!
Kabisa 👁😇Mkuu agiza ulanzi ntalipa ,unajua watu wanafki sanaaa utafikiri hawajawahi kukumbana na " miungu watu" maofisini huyo dada ni mfano wa wachache kabisa wanaojisahau sana wakiwa maofisini,
Ni wanyama nenda mahospitali,nenda mahakamani,nenda police ,nenda Nida,nenda sijui wilayani ,yani utabetuliwa mdomo mpaka ujione mbwa koko,
Acha tu ,
Mungu akusaidie.Hii wiki ngumu sana kwetu wanawake, huku tunasimangwa kwa yaliyomkuta Penina, huku tunadhalilishwa!
Yatapita tu.
Katika ufinyu wako huohuo wa akili , Clip Ile udhalilishaji uko wapi?.Mtu abebe msalaba kwa kutwezwa? Huko ambako siyo bongo watu wanakodhalilishana ni wapi?
Nendeni mkamfufue huyo mshamba wenu ingawa hii nchi si mali yake. Akichemsha lazima aondoke.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.