nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,,
Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu....
Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika familia yetu ni ipi.
Tumefikia muafaka kwamba Elimu mwisho ni kidato cha nne naam kidato cha 4,,,haina maana kupoteza mamilioni kwa elimu ambayo haita tusaidia sisi na uzao wetu.
Kwamba hiyo ada itaelekezwa kwenye uwekezaji katika nguvu kuu yetu,
Kisa na maana ya kuongea na binti zangu na wakwe zangu ni kutia nguvu matamko yangu pamoja na kauli ni kama usia,
Nashukuru Mungu woote wameipokea kwa moyo wa furaha yaani wajukuu mama zao pamoja na walio oa kwenye mji wangu na walio olewa kwenye mji wangu,,,
N>B>
Kama unaona inafaa chukua na uifanyie kazi,,,
Wabarakatul...Haleluya...Ruwa Oko Man'gy