John L. Mihambo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 526
- 177
- Thread starter
- #61
unamuita mzazi wako jamaa???
Mkuu umestuka toka usingizini? Hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamuita mzazi wako jamaa???
Tatizo nini??????
Matusi si ruksa ila maelezo yako naona hayajajitosheleza - mtu akutukane wewe na mzazi wako kila mara bila sababu????????!!!!!!!Mkuu inamaana matusi ni ruksa kisheria kama kuna tatizo, eti? Hahaha
Matusi si ruksa ila maelezo yako naona hayajajitosheleza - mtu akutukane wewe na mzazi wako kila mara bila sababu????????!!!!!!!
Kwa tafsiri yako kama kuna sababu ama maelezo yasiyojitosheleza, mtu akikutukana kila mara hakuna tatizo! Aisee!
Kutoka huko atokako awatukana wazazi wako, hapana;
Ungesema zaidi kidogo.
Wakuu habari!
Nimetukaniwa Mzazi wangu, matusi ya nguoni, kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu! Aliyenitukana tupo naye mbali kijiografia. Yeye yupo mji mwingine mbali na mimi, wakati mimi nipo mkoa mwingine lakini pia kijijini kabisa!
Kwa heshima ya Mzazi wangu, naweza kutumia njia gani, yaani nianzie wapi kulingana na hii sheria mpya ya matumizi ya mitandao (Cyber Crime)?
Ahsanteni, mbarikiwe sana!