Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

Hi
Hiyo michuano utambuliko wake ni gani?
 
match fixing haina ushabiki. we shouldn't support this. ligi yetu tutapigiwa pini siku kisa match fixing.
 
sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana. na evidence nitwaambia zipo azam TV tanzania. sio hater ila things like these...
Hii energy ungekuwa nayo pia msimu uliopita kwenye magoli ya mchongo timu fulani iliyokuwa inapewa, ningekuunga mkono.

Singida wakienda huko Shirikisho na attitude waliyoonyesha leo, hatua ya kwanza tu wanatupwa nje. Ni calls chache sana ambazo ningeweza kusema kweli hazikuwa sahihi, ila kwa kiasi kikubwa walikuwa wanatafuta huruma ya watazamaji badala ya kucheza mpira.
 
tell me the date and the match na referee mimi na report, TFF wanataka kuaribu mpira wetu they should be stopped
 
Wala huna Cha maana ulichoandika. Unafikiria FIFA ni kijitaasisi fulani Cha mtaani kwenu? Yaani huna hata evidence na unakuwa guided na mihemko. Mpira ni mchezo wa wazi kabisa ila kama makosa ulikuwa huyaoni, ni wewe. Issue sensitive kama match fixing unaizungumzia kama kishika uchumba. Unahitajika ushahidi hasa beyond reasonable doubt. Singida ila game walicheza Kwa nguvu jambalo ambalo limepelekea kufanya makosa mengi mchezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…