Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

Hi
sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana. na evidence nitwaambia zipo azam TV tanzania. sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku

Email : Integrity@TheFA.com

mnaweza tuma pia.

match fixing shouldn't be tolerated kabisa. toa ushabiki pembeni.
integrity should be respected.

View attachment 2713952
Hiyo michuano utambuliko wake ni gani?
 
Mwaka huu utajinyonga na utakufa kabisaaa kqa kihoro. Huu ndio wakati KARIA, TFF, MAREFA na BODI YA LIGI watatukanwa mwanzo mpaka mwisho kisa tu kuna Mataahira yasiyo na akili timu yao inafungwa na Simba.

Jakaya na Baba Manara pekee ndio wenye akili vichwani nyie wengine UTI imeshatafuna ubongo ndio maaana unaaanzisha nyuzi makamasi.
match fixing haina ushabiki. we shouldn't support this. ligi yetu tutapigiwa pini siku kisa match fixing.
 
Nyie si mlikuwa mnasema mnatutaka?

Ndio mmefikia huku?
FB_IMG_16916955393469692.jpg
 
sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana. na evidence nitwaambia zipo azam TV tanzania. sio hater ila things like these...
Hii energy ungekuwa nayo pia msimu uliopita kwenye magoli ya mchongo timu fulani iliyokuwa inapewa, ningekuunga mkono.

Singida wakienda huko Shirikisho na attitude waliyoonyesha leo, hatua ya kwanza tu wanatupwa nje. Ni calls chache sana ambazo ningeweza kusema kweli hazikuwa sahihi, ila kwa kiasi kikubwa walikuwa wanatafuta huruma ya watazamaji badala ya kucheza mpira.
 
Hii energy ungekuwa nayo pia msimu uliopita kwenye magoli ya mchongo timu fulani iliyokuwa inapewa, ningekuunga mkono.

Singida wakienda na attitude waliyoonyesha leo huko Shirikisho, hatua ya kwanza tu wanatupwa nje. Ni calls chache sana ambazo ningeweza kusema kweli hazikuwa sahihi, ila kwa kiasi kikubwa walikuwa wanatafuta huruma ya watazamaji badala ya kucheza mpira.
tell me the date and the match na referee mimi na report, TFF wanataka kuaribu mpira wetu they should be stopped
 
Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku.

Email :integrity@fifa.org

Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa ushabiki pembeni.

integrity should be respected.

View attachment 2713952
Case number nimepata na password kama wata follow through na my case basi nitaleta mrejesho some day.
Nitumia both emails and portal.


JE NILIREPORT NA INTERPOL SPORT FIXING ??
Wala huna Cha maana ulichoandika. Unafikiria FIFA ni kijitaasisi fulani Cha mtaani kwenu? Yaani huna hata evidence na unakuwa guided na mihemko. Mpira ni mchezo wa wazi kabisa ila kama makosa ulikuwa huyaoni, ni wewe. Issue sensitive kama match fixing unaizungumzia kama kishika uchumba. Unahitajika ushahidi hasa beyond reasonable doubt. Singida ila game walicheza Kwa nguvu jambalo ambalo limepelekea kufanya makosa mengi mchezoni.
 
Back
Top Bottom