betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 140
- 252
Mkuu mi naona wewe mambo ya mapenzi achana nayo, kakuwekea kwenye kilimo.Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama alsekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo siku ndio mana nipo hivyo.
Naombeni msaada na ushauri
Ulimdanganya umefanya wapi?Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama alsekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo siku ndio mana nipo hivyo.
Naombeni msaada na ushauri
Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama alsekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo siku ndio mana nipo hivyo.
Naombeni msaada na ushauri
Dah. 😂😂Mkuu mi naona wewe mambo ya mapenzi achana nayo, kakuwekea kwenye kilimo.
Hapa tu panazua tafakari kubwa sananikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo siku ndio mana nipo hivyo.
Alitaka kusema alifanya kazi Sana siku hiyo ndio Maana amechokaHapa tu panazua tafakari kubwa sana
Kuna vitu vingine ni kama ulemavu hata utumie nini utabaki vile vile, ndio kama huyu mtoa mada aendelee kubet tu mambo ya mapenzi aweke kando.Kwanza muone daktari uchukue vipimo ujue tatizo hasa ni nini.
Pili, kula vizuri proteins za kutosha na healthy fats.
Tatu, fanya mazoezi hasa cardio na bodyweight exercises kama pushups, pull ups and squats. Kama upo overweight punguza uzito na kama unavuta sigara au mashisha acha mara moja.
Mi nafikiri ajipe grace hivyo anavyokazana kujishughulisha anajiongezea stress ambazo nazo ni mbaya, ajitibu taratibu si lazima kukimbilia kutest, na hata akitest awe makini na anavyojitathmini na kujigrade, pengine shida yake inahitaji time fulani sasa akianza kujitatjmini kwa muda mchache hivi atakata tamaa.Alitaka kusema alifanya kazi Sana siku hiyo ndio Maana amechoka
NAOMBA tujaribu basi Mimi na weweUsijali.! Sekunde 10 nayo inatia mimba
Huyo anajichosha tuz wafrika tuna shida sana, yaani mtu anaamini bila ngono Hana Raha ya maishaMi nafikiri ajipe grace hivyo anavyokazana kujishughulisha anajiongezea stress ambazo nazo ni mbaya, ajitibu taratibu si lazima kukimbilia kutest, na hata akitest awe makini na anavyojitathmini na kujigrade, pengine shida yake inahitaji time fulani sasa akianza kujitatjmini kwq muda mchache hivi atakata tamaa.
Utapeli Acha nduguHayo yote Yesu anakuponya haraka sana.