Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

Kwa hiyo mkuu ilisinyaa sana kiasi kwamba ukawa unashindwa hata kuisokomeza kwa mkono kama utambi wa kibatali huenda ingesimamia humo humo....ila shukuru Mungu maana Mimi hapa Bado najitibu gono hapa Kuna manzi juzi kaniambukia
 
Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo siku ndio mana nipo hivyo.

Naombeni msaada na ushauri
Shida ya kwanza uliingia kwenye mechi na hofu, pili kuna aina ya kucheza mechi usimwage haraka na uume usisinyae haraka inabidi upate shule hapa
 
testosterone level yake ilikuwa 0.67 nmol/L, itakuwa alienda kupima dispensary wamemuongopea wamekula pesa yake wamempa majibu hayo,hata kusoma majibu hawajamsomea amekuja kuuliza jamii forum.
Nafikiri hana shida hiyo hofu ndio imetawala akilini mwake,mtu mwenyewe bado kijana ana miaka 23.

This. Wengi ni mental health issue more than anything.
 
testosterone level yake ilikuwa 0.67 nmol/L, itakuwa alienda kupima dispensary wamemuongopea wamekula pesa yake wamempa majibu hayo,hata kusoma majibu hawajamsomea amekuja kuuliza jamii forum.
Nafikiri hana shida hiyo hofu ndio imetawala akilini mwake,mtu mwenyewe bado kijana ana miaka 23.
Hapana hio hospitali inaaminika sana na ndio maana nikaenda moja kwa moja huko na hicho kipimo nimepewa kwenye hospitali mbili tofauti
 
Kwa huo muda ni kwaajili ya watu wenye ukame wa muda mrefu. Jinsi unavyozidi kuwa mzinzi ndivyo hisia hupungua na kudumu muda mrefu kunaongezeka.....
 
A

Anza kutembea hatua elfu sita kwa siku, squats 100+,push ups 100,lunges 100,pull ups 30, kula sana mayaai ya kienyeji,nyama,samaki,nazi,parachichi,tumia beef talllow au nazi kupikia,lala masaa7+ usiku,kaa miezi kadhaa bila kushiriki tendo...
Ukizngatia vizuri hayo utakaa sawa kabisa kazi kwako
Hivyo vyakula umemtajia inategemea na mfuko wake
 
Back
Top Bottom